Recent content by Mhais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Nakuona uko vizuri sana kwa uchambuzi. Sasa hebu tusaidie kwa faida ya kujifunza zaidi kwa situation hiyo, jalia wewe ndio dc ungefanyaje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    Ndio maana hili nchi linakufa kwa kuendekeza uzembe. Halafu tunataka mambo yaende vizuri unajua je hao ambao wamewapotezea muda. Pia nadhani ni kazi za mazoea, hivi kama wanachelewa kwa nini wasitangulize taarifa ya uchelewaji wao? Any way
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Nafuu usanii unaoonekana kuliko wa kufikirika.Kuna mwenzio alisema watz waletewe consultant wapimwe akili. Angalia sasa bunge anaangalia kupitia tv. Tusidhalishane kwa kusema akili za watz ni chini au sijui namna ile.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viti Maalum: BAWACHA Ruvuma wampa siku tatu Mbowe kubatilisha uteuzi wa Zubeda Sakuru kutoka Tanga

    Si na wewe useme hao wengine,wajadiliwe lkn si kuondoa hoja iliyotolewa kwa sababu na fulani nae pia. Hii haitaondoa dhulma.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Undisputable: CHADEMA wamehalalisha rushwa

    Hoja ni vema wasomaji tuone mantiki, hebu fikiria nccr mageuzi nayo imepata kiti kimoja wakati ni zee kuliko act changa kabisa. Hizo ni ajira za wanasiasa na dawa nikupunguza mishahara na posho uone kama watawekeza kukimbilia bungeni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waliomdharau Zitto sasa awafunga midomo

    Hongera zitto, Umewachana vibaya sana,sasa jengeni chama kitaalam.
  7. M

    JamiiForums Tanzania VITA KALI: MUNGU anataka kutupa Rais, Shetani naye anapigana aweke Rais wake hapa Tanzania

    Usitudanganye kama Mungu haui pepo na moto kwanini aliumba. Na huwezi kwenda peponi au motoni sharti ufe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majina manne ya Lowassa ni yapi?

    Ndio haswa lengo, sio mzaha unaweza sikia ile edward ngoyai mabadiliko lowassa. Hawa kina lissu walimchafua sana mzee wa watu alafu wanababaika eti ngazi za juu. Vipi wachukuliwe hatua na ikionekana wamemchafua makusudi tupa jela.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kioja; BULEMBO ALITAKA MDAHALO NA MBOWE. LEO AMEWAONGEZA LISSU NA MDEE!!

    Ndio mabadiliko
  10. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA watapatapa...

    Jamani mmesahau wameleta watafiti kufanya utafiti na wakapewa uhakika na mbinu za kushinda na hizo pia ni mbinu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu...Hakuna jimbo ambalo UKAWA wamejihakikishia ushindi!

    Tambo za kisiasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu...Hakuna jimbo ambalo UKAWA wamejihakikishia ushindi!

    Haya ndo majibu kwa mtoa post.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu...Hakuna jimbo ambalo UKAWA wamejihakikishia ushindi!

    Jadili upumbavu wake kwa kumwonesha werevu wako.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Lowassa Coments 232. Magufuli Coments 65. Watanyooka Tu

    Hiyo ni dalili kuwa ukawa wasomi na wanafuatilia mitandao na zzm kinyume chake.
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 CHADEMA wakishindwa watasingizia NEC!

    Tena yamegoma yenyewe yanaudhi sana. Maana ingekuwepo tume huru ni jambo la msingi na ile ya kupinga matokeo ya rais. Ingesaidia walau hofu ya kusema watachakachuliwa. Leo hata hiyo badilibadili kwenye tume huenda ingeufyata.
Back
Top Bottom