UKAWA watapatapa...

UKAWA watapatapa...

UKAWA MBONA WANALIALIA??
Kuli kukicha hawa jamaa hawakosi sababu!Kutwa kutoa malalamiko wanaonewa,raia akihama ccm kwenda ukawa basi huyo amefanya jambo jema,ila akihama ukawa kwenda ccm basi ni tatizo,ccm wakijaza watu ktk kampeni utasikia wamesombelewa,ila wao wakijaza basi ni sunami,gazet likiandika mazuri ya ccm basi limenunuliwa,ila likiandika ya ukawa hilo ndo gazeti makini!!Ipo mifano mingi tu!!NAJIULIZA UKAWA MBONA WANALIALIA KWANI WAMEJIPANGAJE??

Hawajiamini.
 
Zikiwa zimebaki siku 23 uchaguzi mkuu ufanyike nchini,umoja wa ukawa nchini umeanza poteza muolekeo wa kisiasa:Umoja huo kwa sas viongozi wake wanashindwa kunad sera zao mjukwaan vizuri na kutwa wamekuwa wakiiandama tume ya uchaguzi,mara propaganda za uongo kama vile toraka uje na ahadi kedekede ambazo utekelezaji wake hauwezekani ili mradi tu kuwini saikolojia za wananchi!Jaman watanzania sio wote malimbukeni,tumeshtuka!Kwa dalili hizi nakumbuka kale kausemi kuwa MFA MAJI AACHI ........(Maliza mwenyewe msomaji)
CCM ndo wanatapatapa maana hadi leo hawajasema kale kamgao kengine kaescroo katika benk ya ... nani alichukua?? twiga wetu nani alipakia kwenye ndege?? Mwanzilishi wa Richmond ni nani?? Aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa ni nani????
 
Mapirobe sisi tunanadi sera ila ninyi ndio mnatapatapa kwa kutoa matusi na kashfa kwenye mikutano yenu. tume ya uchaguzi lazima tuiandame ili kuhakikisha kuwa inakuwa huru na haki na inasimamia uchaguzi bila kuwapendelea ninyi. toroka uje sio propaganda ya uongo bali ni msemo kama vile wenu wa kibajaji mpaka dodoma. ahadi kedekede ni kama zile anazotoa mgombea wenu ambazo pamoja na serikali aliyokuwemo kushindwa kuzitekeleza bado mnawahadaa wananchi ati mtawapa milioni hamsini kila kijiji. hospitali hazina madawa wala vifaa tiba, skuli hazina madwati wala vifaa vya kufundishia lakini mnatudanganya ati mtatupatia milioni hamsini. mtazitoa wapi? au mtapewa na mafisadi wenu wa EPA na ESCROW ambao mmewapitisha wagombee ubunge? KWELI MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA NA NDIVYO MLIVYO HAMUACHI KUTAPATAPA KWANI TOROKA UJE NI SLOGAN YETU NINYI INAWAWASHIANI? Ninyi endelezeni matusi na kashfa sisi tunawaomba wananchi kura na oktoba 25 ndio utajua kuwa asali sio nta.
Zikiwa zimebaki siku 23 uchaguzi mkuu ufanyike nchini,umoja wa ukawa nchini umeanza poteza muolekeo wa kisiasa:Umoja huo kwa sas viongozi wake wanashindwa kunad sera zao mjukwaan vizuri na kutwa wamekuwa wakiiandama tume ya uchaguzi,mara propaganda za uongo kama vile toraka uje na ahadi kedekede ambazo utekelezaji wake hauwezekani ili mradi tu kuwini saikolojia za wananchi!Jaman watanzania sio wote malimbukeni,tumeshtuka!Kwa dalili hizi nakumbuka kale kausemi kuwa MFA MAJI AACHI ........(Maliza mwenyewe msomaji)
 
Wewe unapumulia mashine ,kaa kimya 25 okt hiyoooooo
 
Unajua cku zote unaambiwa Mfa maji haishi kutapa tapa, ndo ukawa sasa wanajua kabxa October wanachinjwa ndo maana wanajiham mapema
 
Mkuu Mbona Hiyo Kubandika Matokeo Ya Urais,mnyika Mwenyewe Alisema Ipo Kwenye Sheria Kabisa So Sio Kitu Cha Kujisifu Eti Wamejenga Hoja Wakati Kisheria Ipo Hiyo...
Ilitungwa lini na kwanini ilikuwa haitumiki? huoni kuna kitu nyuma ya pazia kabla
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom