Recent content by Mh SAMBALA

  1. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

    Hongera zao
  2. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Haki ya nani nchi tuanenda kubaya sana niliwai kusema siku moja kuhsu utekaji wa ulimboka nikatukanwa sana
  3. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kata Ya Mondo Kondoa Dodoma asema ALOMTEKA DR. ULIMBOKA NI SHUJAA

    Hoja ipo wazi kabisa huyo bwana ni shujaa kamaliza mgogoro na kuokpoa mamia ya masikini wasife
  4. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Toka moyoni mwangu

    Mimi ndio Thambala mwenye hiyo Post Na niliyeuliza hayo Maswali kule TANURI LA FIKRA...
  5. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuweka kambi Arumeru Mashariki kupangua mikakati yote ya CHADEMA

    HABARI ZA KUAMINIKA TOKA ARUMERU. EDUARD NGOYAYE LOWASSA AJITOSA RASMI KWENYE KAMPENI ZA SIOI. Mbunge wa Monduli na Mjumbe wa NEC CCM Amejitosa rasmi kwenye kampeni za ubbunge Arumeru Mashariki. Habari za kuaminika zinasema leo ni siku ya Tatu tangu mzee Lowassa ajitose kwenye...
  6. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

    Pole Mh Waziri kwa hilo Tukio....
  7. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Wanachuo SAUT wajiunga na CUF

    yangu macho
  8. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Pendekezo-baraza la mawaziri la chadema 2015

    Litakuwa baraza kivuli kwa sababu CCM watashinda uchaguzi...tena 2015
  9. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Naomba Kuuliza:.....CONCERN FOR THE ELDRLY (COEL) TANZANIA Ni kina nani....?

    Nimesema ofisi yangu mimi mwenyewe leo na kesho nafanya wdc ktoa maamuzi....
  10. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Naomba Kuuliza:.....CONCERN FOR THE ELDRLY (COEL) TANZANIA Ni kina nani....?

    Naomba Kuuliza.. CONCERN FOR THE ELDRLY (COEL) TANZANIA. Ni kina nani hasa hawa...? Leo amefika mgeni Ofisini kwangu toka NGO ya COEL (DICKSON ISRAEL SWAI) Kijana huyu anadai kutumwa na NGO hiyo kuja kutoa elimu kwa wananchi wangu. Juu ya haki ya Vikongwe. Na pia amekuja...
  11. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Uvccm-------->2012

    ..... Haya umesinda wewe na udaku wako.... Siwezi jibishana na mtu ambaye hana data
  12. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Uvccm-------->2012

    Tete teeee heeeee teeeheeeee
  13. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Uvccm-------->2012

    .... Mademu gani waliwahi kuwa na Inbox zangu...? Nyie kweli vilaza na wala hamjui mtendalo... Poleni Vilaza wa Udaku nyie....
  14. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Uvccm-------->2012

    ...Kijana za LEO LEO WE KWELI KILAZA..... Umejigamba unakuja kumwaga ukweli hapa mbona hujaja na huo ukweli na pc ulizodai za Ufisadi wangu.. Nina mashaka na uelewa wako... Na inawezekana una matatizo ya akiji...
  15. Mh SAMBALA

    JamiiForums Tanzania Uvccm-------->2012

    .... Ha haaaaaaa Haaaaaa
Back
Top Bottom