Recent content by Mgwadila

  1. M

    Ajira za walimu tanzania kwa mwaka 2014-2015

    tehetehe anasema kwa taarifa alizokuwa nazo ni kwamba ajira mwezi wa saba na kilichokuwa kinapelekea huko ni suala la kura ya maoni na serikali ilikosa pesa za kuwapa walimu za kujikimu. sasa anasema kwakuwa mchakato wa katiba umesitishwa basi huenda ndani ya mwezi huu wakati wwt jamaa wanaweza...
  2. M

    Maajabu ya uzinzi haya hapa

    Umenikumbusha kitu, Kuna jamaa juz kati kaliwa tigo lakini wafanyakazi wenzake tukapigiwa simu baada ya kuwa amezimia tena porini, tulimpeleka kwake na baada ya siku kama 6 alirud, tukawa tunamuuliza kulitokea nini akawa anatujibu "kwa mbinde kishenzi" hahahaaa
  3. M

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Bm za kunywea a.k.a family man ndani ya kilongayena shule
  4. M

    Mwalimu wa Masasi mjini anayetaka kuja Mtwara mjini.

    Mhh mtwara mjini maisha magumu, Michele kilo sh.2500!
  5. M

    Maana Ya neno halisi ya "Nalikuja"

    Ni kiswahili cha zamani kabla ya usanifishaji na ilimaanisha "nilikuja"
  6. M

    Ukweli kuhusu mgomo UDOM

    Elimu ya chuo kikuu sitaki tena kuifikiria
  7. M

    Baada ya mgomo, wanafunzi STEMMUCO(SAUT-Mtwara) wasimamishwa masomo

    Umeniogofya mkuu,inawezekana mambo yakawa mabaya zaid
  8. M

    Baada ya mgomo, wanafunzi STEMMUCO(SAUT-Mtwara) wasimamishwa masomo

    Potelea mbali,degree yetu kasoro mwez mmoja tutaitumia mtaani!
  9. M

    Baada ya mgomo, wanafunzi STEMMUCO(SAUT-Mtwara) wasimamishwa masomo

    Ni kwel mrumi mbabe,ila hakuna hata kitu kimoja tulichoharibu,sis tulitoka kwenda kwa mkuu wa mkoa tu,
  10. M

    Baada ya mgomo, wanafunzi STEMMUCO(SAUT-Mtwara) wasimamishwa masomo

    Wanafunzi hao wamepewa barua zilizokariri kuvunjw kwa sheria za chuo kwa maandamano yaliyofanywa tar 29/5 mwaka huu kushinikiza kupewa hela zao za mkopo. wanafunzi hao wamesitishiwa masomo kwa siku 7 ambapo watakwenda kuhojiwa na kamati ya maadili na mwisho kusubiri SENATE kujadili utetezi wao!
  11. M

    Rekodi yawekwa,SAUT MTWARA waandamana

    Hata buku 5 si mbaya ukaturushia,c unajua hali ilivyo huku mtwara?
Back
Top Bottom