Ni ngumu sana kumwelimisha MTU shabiki asiyekuwa na vidato ni ngumu sana.Hivi kampuni inawekewa sheria eti ilipe kodi baada ya kutangaza faida hivi hata ni wewe utatangaza kweli au utataka kula vya mjinga? .Sheria nyingine inasema madini yachimbwayo mgodini pale ni yao yote sasa jiulize walikuja...
Lissu anazungumzia Sheria za hovyo zilizo ktk mikataba zilizopitishwa na bunge miaka ya 97,98 na 2010.Ni bunge letu sisi wenyewe ndilo limetisha hizo sheria mbovu.Sasa hapo usichoelewa ni nini kama sio ushabiki wa kijinga au ni elimu huna?
Bana we nawe umeona.Duh! Shule zimefungwa sasa huku mtaani no shida.Kisichana kinakwenda dukani na blauzi na khanga tupu.Kinatoka dukani kinapitia saloon ya kiume kinaenda kupiga story huku kinajiachaacha wazi sijui kinamaanisha nini kama sio kiherehere cha kujipeleka bandani mwa chui.
Kulikuwepo na semina moja inayohusiana na mada tajwa kwenye kanisa moja mwanza la Nabii mmoja aitwae GB Malisa.Semina iliendeshwa na mkewe na haikuhusu wanaume.Ebu wanawake waliohudhuria watiririke watujuze kwanini wanawake ndio huwa na mapepo sana sana.
Uzalendo sijui unawezekana vipi ktk nchi za kiafrika.Tunakosa adhabu kali kwa makosa ya kutokuwa mzalendo.Kutolipa kodi si uzalendo,kutolinda rasilimali kwa minajili ya kuruhusu ziibwe si uzalendo na mengi ya makosa yanayohusiana na kutokuwa wazalendo kwa nchi nyingine ni makosa yanayopelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.