Recent content by mgumu kwiro

  1. M

    Eti ni kweli wanawake wembamba wanapata mi..... kirahisi kuliko wanene??

    High percentage pia wanasema pre- natal death ni kubwa kwa wanawake walio conceive wakiwa na vitambi
  2. M

    Walaji wa nguruwe/kitimoto hatarini kuugua Ugonjwa wa Kifafa

    Acha ubish wa ajabu lekule ndo mtaalamu wa mambo ya nguruwe tanzania hii na hakuna mwingine,huwez fananisha na porojo za ndodi
  3. M

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Mathayo hana lolote na wengine wafuate huyo anayejiita maghembe,kawambwa ,mulugo,muhongo,wasepe nao mizgo iyo
  4. M

    Wadada kumbukeni kunyoa makwapa yenu...mnakera sana!

    Kata msitu wa kwapa na kunako harufu na kero
  5. M

    Miji kumi hatari Duniani 2013

    Dox(mwanjelwa Mbeya,sinde/isanga /iyunga, kwa wakaba kabal na nondo
  6. M

    Unakumbuka kioja hiki kilichotokea ktk kikao cha nec ya ccm

    Jamaa namkubali wizara zote kapga kaz kinoma sio saiz mawazir weng madudu,Lowasa ndo baba ya baba yao....na urahis 2015 lazima achukue kiti....
  7. M

    Je, ni kweli kinyonga hupasuka na kunguru hana damu?

    Madame B kasema ukweli kabsa nishamwona kinyonga anafukia chin mayai yake alafu kinyonga ni reptilia ambao hutaga mayai habar ya kupasuka yeye haupo
  8. M

    Chopa ya Chadema yamchefua Godfrey Zambi

    Zambi fanya yako iv kwanin ccm wanatetemeka kila chadema wakiwa kwenye ziara zao? Ndo maana nch haiendelei kwan ccm wanatumia nguvu na hela kupambana na chadema na siyo maendeleo ya nchi
  9. M

    Wewe mwana JF una taaluma gani?

    Mboga mboga na matunda
  10. M

    Waziri wa Mambo ya Ndani Kusaidiwa Kazi na Wizara ya Usafirishaji

    Wewe nchmb mwoga mno ang'olewe madarakan hata masha nae wote hamna kitu
Back
Top Bottom