Wadada kumbukeni kunyoa makwapa yenu...mnakera sana!

Ndandalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
388
Reaction score
111
Kuna tabia imeshamiri ya wadada kuvaa fulana, magauni au blauzi zisizo na mikono hivyo kuacha makwapa yao wazi. Unakutana na mdada mrembo ndani ya daladala au sehemu yoyote ile, urembo wake unatoweka na kuleta kinyaa kwa wamtazamao mara anaponyanyua mkono wake juu na kibunda cha nywele tena nyekunduu kujionyesha.
Naomba kuuliza ni fasheni mpya au uchafu tu, kama ni uchafu kiwembe ni sh ngapi dada zangu? tubadilike kama unajiona mchafu si kila nguo inakufaa kuvaa
 
Kwa wadada walio wengi unawaonea tu, kasheshe kama ingetokea fashion kama hiyo kwa wakaka/wwababa! maana most of them wanaacha hizo nywele za makwapa utadhani ndo machuma ya kujishikilia kwny daadala!
 
lakini kwa mdada ni bonge la aibu!
 
lakini kwa mdada ni bonge la aibu!

anzisha barber shop ya kutoa hiyo huduma,
utafunika berber shop zote, maana mtu unamnyoa huko anacheka cheka mwanzo mwisho, usipokuwa kauzu inakula kwako!
 
Kiukweli hii tabia inaboa ile mbaya,alafu mimi nashindwa kuelewa,ivi kweli wanakuwa hawajui ama kusudi? Yaani haiingii akilini eti mtu unakuta kwingine koooote kusafi ila kikwapa tu,
Sasa balaa lake kwenye daladala! Watu kibao mmeshikilia bomba,mtatakana ubaya.
 
mbaya zaidi muwe kwenye foleni alafu gari haitembei na mzunguko wa hewa unakuwa mdogo.
 
Kicheni part zihusishe mtaalamu wa afya kutoa elimu ya afya....mbaya kuliko zote ni kutosafisha kwa uhakika sehemu nyeti.....utakuta mdada reception iko poa kweli...tabu ni pale utakapopewa nafasi ukachungulia kunako,hutamani kurudi tena....
 
Bin adam wote tunatakiwa kujistiri kwa mavazi na pi usafi .tusinuke vikwapa na mwili mzima kwa ujumla.
 
Mutuwache wenzenu...kwahyo nyle ndio mwakereka zaidi mbona nyie ndo zaid kama mwataka kujifanya nyie ndo mna ruksa ya kufanya kila ktu?
Nchi ya democracy kila mtu aishi atakavyo ilimrad asivunje sheria,kama wakereka usiwe unapanda daladala pandaga taksi au nunua gari...
Kwapa lake ye yuko poa we unakwazika na nin?
 
Duh! Kibokkoo!!!
 
PLL pole, yamkini papuchi nayo imeshona kichaka eti ehe? Nyoa bana, mwanamke wanja!
 
wakaka wengine kama wanafuga rasta za kwapa!!wala akina dada hawajakuja ku report hapa
 
Back
Top Bottom