Hao wawili uliowataja i am very sure walipewa scholarship na UN, na walikuwa UDSM kama wakimbizi...
Sikatai kwamba kuna waliobahatika kupata scholarship za Tanzania lakini sidhani kama nikitu cha ku regret..(you shoul be proud of that)
Kumbuka kuna wa Tanzania kibao tu wako ugenini au...
Ulisikia vibaya, maybe ulikuwa namawazo mengi kwanza sio ndi omunyarwanda ni Ndi UmunyaRwanda... sielewi kwanini ulisikia hoja ya wa Hutu kuomba msamaha wa Tusi harafu ile ya wa Tusi kuomba msamaha wa Hutu ikakutoka au umeiacha makusudi, anyway hii ni program ya WanyaRwanda wote kuombana msamaha...
Source ya mto Nile iko Rwanda mkuu,Ruvuvu kutoka Tanzania na Nyabarongo kutoka Rwanda ndio huzaa mto Kagera ambao ni main source ya Nile:
Nyabarongo is bigger than Ruvuvu and any thing done on Nyabarongo has great consequences on Nile:
BBC NEWS | UK | England | Hampshire | Team reaches Nile's...
Only a person like you can be proud to show such kind of a photo...hata kama ni adui real soldiers don`t treat a corps like that; Only Interahamwe likes will do that: Boots and Uniform shows me these are not TPDF
Pitia hii link, hii ndio UN resolution iliyopeleka majeshi DRC
Intervention Brigade Authorized as Security Council Grants Mandate Renewal for United Nations Mission in Democratic Republic of Congo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.