Ukweli unajulikana kwamba Rugemalira hajafisadi chochote ndiyo maana hajashtakiwa hadi leo, isipokuwa akina Chenge, Prof Tiba, Ngeleja etc walitolewa kafara ili kupumbaza umma uamini usiendelee kufuatilia waliokwiba huko stanbic. Zzk na baadhi ya vigogo wanalijua vizuri hili.
Waliokuwa wanafuatilia mijadala bajeti Bungeni mnakumbuka jinsi Ngeleja alivyokuwa akipangua hoja hadi Bunge zima linasisimuka! Enzi za Ngeleja wizara ya N n M ilikuwa haitumii fedha kama wakati wa Mhongo, hilo hata wabunge wanajua na wanasema. Issue ya Jairo kuchangisha taasisi ilikuwa yake kwa...
Pelekaroho, ndiyo maana mada inasema Mhongo anatembelea nyota ya Ngeleja. Sasa kama kuna mtu anajua aliyofanya Mhongo zaidi ya hayo yaliyoanzishwa na Ngeleja aseme. Dr Rashid aliwaasa watz umuhimu wa kununua mitambo iliyokuwa ya Dowans kwa sababu ilikuwa inauzwa bei chee just 59.7 mil usd ili...
Kuhusu Rea, ni kwamba Rea ilianzishwa mwaka 2005 na ikaanza kazi rasmi April 2008 wakati waziri akiwa ngeleja. Kwenye bajeti ya mwaka 2008/09 Rea ilitengewa bil 27 kutekeleza miradi awamu ya majaribio. Kwenye bajeti ya mwaka 2011/12 Rea walitengewa bil 137 kwa ajili ya utekelezaji wa Awamu ya...
Escrow ilitumika kuwatoa kafara akina Ngeleja, Chenge na Tibaijuka. Inakuwaje aliyewapa yaani Rugemalira hana hatia halafu aliowapa watiwe hatiani? Why iwe issue wakati migao yao ililipiwa kodi? Mbona Serikali na Zitto mwenyewe hawawataji waliochota kupitia stanbic? Iweje iwe haramu kwa Chenge...
Ngeleja hajawahi kuwa mhasibu wa rostam, wala Ngeleja hajawahi kupandisha bei ya umeme. Bei ya umeme ni suala la kitaalam na linadimamiwa na Ewura, the rest ni majungu na fitna tu kwa wanaomhofu!
Msisahau Ngeleja ni Advocate tangu mwaka 1998 na anamiliki Law Firm yake iitwayo Legal Clinic Advocates tangu mwaka 2002 kabla hata hajawa mbunge. Kumbukeni Ngeleja pia ana cheti cha sheria za mawasiliano kozi aliyosomea katika chuo kikuu cha Witwatersrand cha South Africa. So jamaa ni jembe la...
Wanaohoji elimu ya Ngeleja ni wasiofanya research, jamaa huyu alishaandikwa sana profile yake. O'level aligonga Div one, Form 6 akapiga one, LLB na Masters degrees za UD Mlimani, Mentor wa Masters yake ni Dr Mwakyembe. Kikazi alifanya internship wizara ya Katiba na Sheria baadaye akaajiriwa...
Leteni hard facts cyo uzushi, eti mnackia! Kwani nani asiyejua kwamba Bunge la 10 lilimtia hatiani Prof Muongo kwa kusema uwongo Bungeni tena just two months tu tangu akabidhiwe uwaziri. Mambo hayo ya watu kupiga dili za mafuta aliyazua Prof ili aonekane mchapakazi Kamati Maalum ya Bunge...
On top of that Muhongo alisimamisha uendelezaji wa miradi ya maji ambayo ni muhimu sana kama nchi inatarajia kufikia kitu kinachoitwa power generation mix, cha ajabu sasa hivi anameza matapishi yake kwa kukaribisha wawekezaji kwenye miradi aliyoizuia awali. Asingesimamisha miradi hiyo leo hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.