Recent content by mgoli magombe

  1. M

    Afisa tarafa Kirando wilaya ya Nkasi ulifikiri utateuliwa?

    Huyu jamaa alitubana Sana sisi wana ukawa mwaka Jana, alikuwa anajipendekeza ccm ili ccm ishinde, alidiriki kuwaweka hadi wanachadema ndani, ss hv wote tupo sawa. Pole sn Kijana mwenzetu, hyo ndo ccm aka chama cha kindugu.
  2. M

    Huu ni mwanzo wa watumishi wa umma kuvunjika moyo

    wako maafisa tawala wanaofanya masters ambapo watahitaji kupandishwa vyeo .Hakiamungu tupa muundo Wa utumishi kule politics must take over
  3. M

    Huu ni mwanzo wa watumishi wa umma kuvunjika moyo

    Inashangaza sana kuona kuna watu katika utumishi wa umma ambao ni Maafisa Tawala, wengine ni Maafisa Tarafa, wengine ni Makatibu Tawala wasaidizi mikoani wakibaki bila kujua vyeo vyao kimuundo vitakuwaje. Na je wakifanyiwa promotion wanakuwa kina nani? Maana nafasi walizokuwa wanatakiwa...
  4. M

    Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

    DAS ni mtumishi Wa umma na huwa ni nafasi ya uteuzi inayopatikana kwa njia ya promotion kwa maafisa tawala wasaidizi mkoani, au maafisa tawala Wa wilaya au maafisa tarafa hawa wote wanaweza kuwa promoted kupewa UDAS, na Mara nyingi elimu yao huwa haitakiwa kupungua shahada ya pili. Ila kwa mtu...
  5. M

    TAKUKURU Yamuwekea Mitego Mgombea Ubunge CCM Arusha Mjini

    kwa arusha hata akiahidi 1b hawez kumshinda lema.
  6. M

    UCHAMBUZI: Watanzania wanataka mabadiliko sasa, hawataki Porojo tena

    mwaka huu mabadiriko lazima, wao wasombe watu na magari, watishie watu ila wajue hata vyombo vya ulinzi tunavichinjio na tunahamu ya kuchinja.
  7. M

    UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    huu ni uminyaji mkubwa sn wa demokrasia. ukawa msikubali hata kidogo.
  8. M

    Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

    Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeh kumbe nyinyiemu nao ni makamanda. hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  9. M

    Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    hILI JAMAA LIONGO KWELI, NI KONDOMU YA CCM HUYO
  10. M

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Poli makonda alimpiga walioba na sasa ni dc kinondoni
  11. M

    Hivi Lubeleje aliyekuwa mbunge wa Mpwapwa ana matatizo gani?

    Mtoa mada mpumbavu kabisa, kwani ww ukiuza nguo zako za ndani za mkeo mkanunua unga kuna mtu atakuuliza?, Tafuta chako mtoto wa kiume ww Lubeleje akiuza nyumba ni yake tu ww unawashwa nini?, Huyo Teu wako pikipiki zake anazopanga kuwaletea vijana wetu kama mwaka 2010 ili baada ya uchaguzi...
  12. M

    Hivi Lubeleje aliyekuwa mbunge wa Mpwapwa ana matatizo gani?

    Ninawasiwasi sana na Elimu yako, kwanza hujui nini maana ya haki ya mwanachama wa chama flani, pili yeye mwenyewe mgombea ameamua kugombea aachwe agombee, Tatu TEU ameleta mavi tu kwenye jimbo kwani kaahidi Minara hasa kule lupeta hamna kitu, kaahidi maji kuwa mengi Lupeta hamna kitu, Kaahidi...
  13. M

    Nakwenda Dodoma kuhudhuria mkutano wa NEC

    mm mwenyewe nipo Dodoma namshauri pinda aachane na masuala ya kugombea uraisi kupitia chama chetu cha mapinduzi maana atatuaibisha kwa ufikiri wake mdogo.
Back
Top Bottom