mgoli magombe
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 121
- 27
Huyu jamaa alitubana Sana sisi wana ukawa mwaka Jana, alikuwa anajipendekeza ccm ili ccm ishinde, alidiriki kuwaweka hadi wanachadema ndani, ss hv wote tupo sawa. Pole sn Kijana mwenzetu, hyo ndo ccm aka chama cha kindugu.