Recent content by Mgogo Mmoja

  1. Mgogo Mmoja

    GE2020 Uhuru, haki na maendeleo ya watu: ni kauli mbiu iliyokosa mvuto kwa watanzania

    Mi sina muda wa kusoma maelezo yote hayo, niambie ni aya ipi umeweka japo point moja ya maana niisome hiyo tu ..!!😎😜🙈🙈
  2. Mgogo Mmoja

    GE2020 Ndugu Balile na wenzako, Vyombo vyenu havipigi kura msiwachagulie wagombea na wachaguaji nini cha kuambiwa, hatutaki

    Yani kwa kifupi habari ni habari tu, ukiona mhariri anaanza kupiga mikwara hivi ujue kuna jambo nyuma ya pazia, Na huyu Balile sijui amekuaje siku hizi.!! Na hayo matusi ni yapi sijui ..!? Usipohabarisha hayo matusi, na badae mgombea akachaguliwa kwenye nafasi anayogombea, nin itakuwa faida...
  3. Mgogo Mmoja

    GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Umejitekenya sana na sijui kama ulikumbuka kuchukua/kuvaa viatu vyako hapo kwa fundi 😇😂..!! Ndugu fundi hakuzungumzia wapigakura?! Tume ikiwa huru na ikaendesha uchaguzi kwa haki?! Kitengo na vyombo vya ulinzi ndo wanaopiga kura mwaka huu?!
  4. Mgogo Mmoja

    GE2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Yaan anachanganya mambo huyu mzee Pascal, Ni bora angesema yeye ni mwanaCCM na angependa Tundu Lissu aondolewe tu ..!! Et sijui kuingilia uhuru wa mahakama, tume iamue kumuondoa, sasa huko si ndo kuingilia mahakama ..!! Sijui kwanin wanajikomba kupita kiasi
  5. Mgogo Mmoja

    Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA

    Nasikia huwa wanasema dini na siasa ni kitu kimoja, kama kuna tofauti bas ni sehemu ndogo sana ..!!
  6. Mgogo Mmoja

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Na huenda na yeye anatafuta hela kwa mtindo wa kitabu kuuzwa, Hayo mapato yanenda wapi, kwanini asikitoe bure tu ..!! Ingawa Mshana Jr amesema ana vyanzo vingine vya habari hii lakin hiki kitabu ndo chanjo kikuu..!! Yote kwa yote tusiwaamini hawa manabii kirahisi !!
  7. Mgogo Mmoja

    Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Pascal Mayalla, Ok, Labda wewe mkongwe utakuwa unafahamu vizuri, Em niambie wangetumia njia zipi kuidai hiyo haki ?!?! Maana naona wengi wenu mnasema njia hii ni ya kuomba poo, lakini hamsemi njia ipi ingetumika ..?! Ikumbukwe mambo mengi wameshafanya, Matamko, kususia, kutoshiriki mambo...
  8. Mgogo Mmoja

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Kama data (CPU) zilizoibiwa ofisini kwa DPP zinamuhusisha Rais kwa namna moja au nyingine, ni lazima akatishe ziara na kurudishwa Zero Ground kiusalama..!!
  9. Mgogo Mmoja

    Ni nani aliyekaidi agizo la Rais na kuamuru vibanda vya machinga kuvunjwa?

    Nadhan hii ndo ile inayoitwa "NOT TO THAT EXTEND, WATCHIT" Kwa lugha yao ya kisukuma ..!!
  10. Mgogo Mmoja

    House4Sale Nyumba mpya za finishing zinauzwa Dodoma

    Yenye fence ipo mtaa gan na ina vyumba vingapi..?!
  11. Mgogo Mmoja

    Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

    Somo pana kuliko upana wa akili zetu. Tukimaliza kubishana turudi nyuma kuiangalia mikataba yetu, kabla hatuja kurupushwa mahakamani kuwalipa fidia wezi wetu. NI KWELI TUNAIBIWA LAKIN NI VEMA KWENDA TARATIBU. Nashangaa sana hata wataalam wetu wanaingiza siasa katika swala hili.
Back
Top Bottom