Recent content by mgoc mgocingwa

  1. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Huenda TANAPA & NCAA zikazikwa kama Viwanda vilivyozikwa Tanganyika

    Nchi hii haijawah kupuuzia watu wake viongozi wamepigana saana katika kuifanya nchi irudi kwenye njia ila baadhi hamtaki kusikia tu eti jembe linaupiga mwingi ma.a sa.ka ni nguli kwelk kwelk
  2. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Huenda TANAPA & NCAA zikazikwa kama Viwanda vilivyozikwa Tanganyika

    Raslinali za wanyama sio za wafanyakazi wa Tanapa na NCA tu lazima zichangie masuala mengine sass unapotaka kila kinachoingia kihudumie wafanyakazi na nchi itajiendeshaje????????
  3. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji wa Nandete uliopo wilayani Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara

    SHAKA ATAKA MAJIBU MRADI WA MAJI ULIOKWAMA NANYUMBU NA MWANDISHI WETU Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji wa Nandete uliopo wilayani Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara unakamilika na kutoa huduma kwa...
  4. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Mwanangu hatosoma kayumba Mungu nisaidie wasingefuta tuisheni na kuuza visheti ningempeleka ha ha ha ha kejeli time
  5. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Dulla wa planet bongo anaonesha upinzani kwa xxl clouds

    Xxl ni kipind cha matangazo ha ha ha ha kejeli time
  6. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Peter Msigwa: Sina ugomvi binafsi na Serikali ya Rais Magufuli

    Yan ukisoma majibu ya Lumumba crew utajua kuwa akili ndogo haijifichi huwa hawaelew kilichosemwa wao wanaroppoka tu ha ha ha ha kejeli time
  7. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

    Hakuna jipya hapa ha ha ha ha kejeli time
  8. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Kwa punguzo hili la Kodi: Asante Rais Magufuli kwa kunijali mtumishi wa umma

    Ha ha ha ha kebehi time
  9. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nimejifukuza kazi, nina haki ya kudai kisheria?

    Hats ufanye nn lazima akupe barua ya kukufuta kazi
  10. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko: Maelfu ya wapinzani watamani kuhamia CCM

    Wewe ni mmoja wa hayo maelfu?ha ha ha ha ha mbafu vyangu mie
  11. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango alalamika Wajapan kufanyia mkutano hotelini badala ya kumbi za serikali, wenyewe wamsuta

    Hawa wababa hawajitambui pesa ya mwenzio uipangie mahesabu ww
  12. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Viapo Vya Wakurugenzi: Rais Magufuli ameteua Wasomi, aagiza Serikali itumie EFD, Wagawa vyeo kukiona

    Rais anapenda majibizano huyu khaaaa
  13. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Mheshiwa Rais Dkt. Magufuli, Ukatibu Mkuu wa CCM mpe Abdallah Bulembo

    Kabisa akili zao ni maji kabisa
  14. mgoc mgocingwa

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Bulembo; CCM yashtuka na Kuvizuia Vyombo vya Habari Kuirudia

    Kuwa ccm lazima some text zimiss wanamuacha bulembo wanamsaka mshenga only in my mother land
Back
Top Bottom