Recent content by mgiriki

  1. M

    Wakati serikali ikiagiza Bombadia, ubalozi wa Marekani wafadhili ujenzi wa choo shuleni Arusha

    kweli chadema ni chama cha wababaishaji tu au kwa jina lingine WASAKATONGE
  2. M

    Hivi bado tunafikiria kununua ndege 5 wakati vijana hawana Ajira?

    namshangaa alieuliza swali kama hili? kwani mpaka uajiriwe ndo uishi kaka? kama huna ajira nenda shambani alime pia nayo ni kazi na inaweza kukutoa maisha ndugu
  3. M

    Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

    Hata wahame wote ccm itashinda tu
  4. M

    Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

    Majangili yamekurupuliwa sasa wanahamia pori lingine.
  5. M

    Kamati Kuu ya CCM kukutana Julai 04, 2015 saa nne asubuhi, Dodoma

    tunawaombe viongozi wetu wa chama kutojali maslah ya mtu binafsi badala yake wateue mtu anaefaa kuingoza tanzania.
  6. M

    Hatari: Majambazi yavamia na kupora raia!

    jeshi letu ni sikivu wape taarifa uone. wananchi tunatakiwa tujitambue yakua, ulinzi ni sisi wenyewe kwa kusaidiana na polisi.
  7. M

    Asilimia kubwa ya Watanzania wanauelewa mkubwa katika maswala ya imani

    hili nalo ni kitenda wili. FUMBO LA IMANI, YESU ALIKUFA NA YESU ATAFUFUKA!!!!
  8. M

    NECTA kuwasaka wenye vyeti bandia

    waende na TRA watu wameajiriwa kiundugu sana na sanasana upande wa madereva.
  9. M

    Nafasi ya Kazi Mwalimu wa Computer

    kibahulomwanga@gmail.com
  10. M

    Nafasi ya Kazi Mwalimu wa Computer

    sudimtambo@gmail.com
  11. M

    Natafuta familia ya baba yangu mahali walipo kwa sasa

    daaa!!! nashangaa kuna watu kwenye mambo ya msingi wanatoa kauli za kejel, matusi! ila waswaili husema, KWENYE MSAFARA WA MAMBA HATA KENGE WAMO. sio rahisi penye mkusanyiko wa Watu wote wawe niwastarab. TUVUMILIANE TUWEZE KUFANIKIWA KWENYE MAMBO YA MSINGI, SIO RAHIS TUFANANE MAWAZO, MTAZAMO, NA...
  12. M

    Natafuta familia ya baba yangu mahali walipo kwa sasa

    daaa!!! nashangaa kuna watu kwenye mambo ya msingi wanatoa kauli za kejel, matusi! ila waswaili husema, KWENYE MSAFARA WA MAMBA HATA KENGE WAMO. sio rahisi penye mkusanyiko wa tatu wote wawe niwastarab. TUVUMILIANE TUWEZE KUFANIKIWA KWENYE MAMBO YA MSINGI, SIO RAHIS TUFANANE MAWAZO, MTAZAMO, NA...
  13. M

    Natafuta familia ya baba yangu mahali walipo kwa sasa

    NIREKEBISHE TU HAPO KUWA NI MLUMBWE SIO mlumbe. ILA NIPENDE TU' KUWAFAHAMISHA WANDUGU KUWA KATIKA TAFUTAYANGU, NILIBAHATIKA KUMPATA DEREVA WAKE ENZI HIZO AMBAE KWA SASA ANAFANYAKAZ YA UDREVA JIJINI ARUSHA AKANIAMBIA KUWA, ANAMFAHAM SANA ALIKUWA BOS WAKE ILA BAADA YA KUSTAFU ALIENDA AKAPATA KAZ...
  14. M

    Natafuta familia ya baba yangu mahali walipo kwa sasa

    NIMEJARIBU KUSACH KAA ULIVONISHAURI ILA INANILETEA TOPIC ZIZOANDIKWA MDA,sijaelewa namna ya kufanya. naomba unielekeze namna ya kufanya ndugu.
Back
Top Bottom