Imetoka batch ya 5 nimesikia Niya continuous student ila ukingia inakufungulia mwisho batch 4 batch ya 5 haifunguki, Mara nasikia loan officer ndiye atakaye tutangazia yakitoka. Xaxa nimebaki njia panda huku penalty ya kuchelewa kulipa ada ikinyemelea.duuuuuu!!!!!
Mimi ni mwanafinzi wa second year na wazazi wote walisha fariki ila Sijui hatima yangu kama nitapata mkopo baada ya awamu zote 3 kupita bila kupata mkopo
Au ndo tumesaulika?
Kama sisi wananchi tutamchagua raisi toka chama cha upinzani et ccm igome kutoka madarakani!!!!!!!! Itakula kwao kwani nchi hii siyo Mali ya CCM niya watanzania wote wa vyama vyote, ikiwa watan'gan'gania madaraka na wakati wananchi hatuwataki amani itatoweka na ccm itakuwa adui wa watanzania...
Kila uchaguzi wanadai wanajua matatizo ya wananchi eti wamejenga barabarani kwa lami,maendeleo yapo n.k? Hii ni danganya toto barabara anazodai ccm imejenga kwanza wajue fedha hizo hazijatoka mifukoni mwao ni kodi zetu sisi wananchi xo waache kujigamba, maendeleo yapi tunayo ni uzushi umaskini...
Kazi gani muhimu kiasi cha msafara mkubwa kama huo? Mbona kwenye ziara za ukaguzi wa barabra hakuwa na msafara mrefu ila kipindi hiki! Hakuna marefu yasiyo na ncha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.