Nadhani uchaguzi hufanywa kwa matakwa ya kikatiba na si kwa kiwango gani Rais aliyeko madarakani katekeleza ahadi zake. Vionjo vya mafanikio yake hufanya uchaguzi kuwa rahic kwa aliyeko madarakani au chama tawala hats hivyo si jambo jema kufikiria kwa namna yoyote ile na kuanza kujenga mazingira...
Lakini hata hiyo text na semantics in it do not carry the wait of a personality in it, ni uandishi wa kawaida mno kiasi kuwa when you go through it doesn't give you the appetite to continue reading, whether you like it or not language framing it is like cosmetic to beauty contest participants or...
Sakata la Waraka mbili za Maaskofu na hoja binafsi ya Mhashamu Kardinali Pengo ni chanzo cha mimi kufikiri kama ninavyofikiri sasa. Nadhani kwa wengi wataona nakosea kusema hoja binafsi za Kardinali Pengo rudieni tena kumsikiliza amesema ni maoni binafsi na hayajutii hata kidogo kuyatoa. Wote...
Nimewasikiliza nakuwasoma kwenye maandiko yao baadhi ya wenzetu na kusikitishwa kuwa mtu makini kweli anaweza kuja na agenda rahisi na nyepesi kuwa sifa ya rais ajae awe ni Kijana. Niwaulize wenzangu mniambie kweli kama si agenda ya siri nyuma ya pazia ni nini hiki. Nyerere hakuwahi kuwa Rais wa...
Nilitaka kuacha kuchangia kwenye mchakato wa kujadili Katiba ya Watanzania kwa sababu nilipata hasira tangu mwanzo wa uandaaji wa kanuni za kuendesha Bunge lenyewe. Hata hivyo uwepo wa maoni ya viongozi wetu wa Imani umenitia moyo na sasa nipo nanyi kutoa maoni yangu. Leo mchango wangu ni wa...
Niliwahi kusema huko nyuma na leo narudia kusema tena "kujenga nidhamu ya kichama kwa wananchama ni suala la msingi kwa wanachama wote. Lakini kutoa hukuma kwa kuongozwa na hisia badala ya kuongozwa na busara ni mapungufu katika usimamizi wa demokrasia. Siamini kuwa Zito ni mkweli na siamini...
Kama mwaka mmoja uliopita tulipata matokeo ya kusikitisha na chukizo kwa umma wa watanzania Leo tukipata matokeo mazuri ni furaha kwa wote lakini matokeo haya lazima yapite katika indicators zote ili yawe validated kwanza tuone kama mitihani ni ya viwango sitahili au ni miepesi ili kudefeat...
Wanachadema katika mtafaruku huu wa kichama mpo upande gani na kwa maslahi yapi? Mimi nawakilisha kundi kubwa la Watanzania ambao wanaamini suluhu peke ya maendeleo ya watanzania ni uwepo wa vyama pinzani vya kisiasa na taasisi binafsi zenye utengamano, nguvu na imara. Chadema katika hili...
Well said Mwanakijiji, wasioamini waamini ya kwao CDM wasonge mbele, hatuwezi kufika kule ambako Waziri Mkuu anaamini watu wana nguvu kuliko serikali eti analiambia Bunge tukiwachukulia hatua mafisadi wa RICHMOND nchi itatikisika, kweli nchi itatikisika kwa kuwachukulia hatua waovu?
Reagan...
CHADEMA CHAMA CHA WACHAGA, NI WIMBO UNAOIMBWA NA WAKABILA NA WABAGUZI WAKUU KATIKA NCHI HII. TUWAKATAE, TUWATENGE NA KUWAKEJELI WALE WOTE AMBAO WANAIMBA WIMBO HUU ILI KUDUMISHA DHAMIRA YAO YA KUPANDIKIZI UKABILA LAKINI KWA KUIMBA CHADEMA NI WAKABILA HII NDIO HADITHI YA MWIZI ANAEKARIBIA...
CHADEMA CHAMA CHA WACHAGA, NI WIMBO UNAOIMBWA NA WAKABILA NA WABAGUZI WAKUU KATIKA NCHI HII. TUWAKATAE, TUWATENGE NA KUWAKEJELI WALE WOTE AMBAO WANAIMBA WIMBO HUU ILI KUDUMISHA DHAMIRA YAO YA KUPANDIKIZI UKABILA LAKINI KWA KUIMBA CHADEMA NI WAKABILA HII NDIO HADITHI YA MWIZI ANAEKARIBIA...
Nilidhani I was alone doing that kumbe wengi. Kinachonishangaza ni uhusiano wa Kauli za viongozi wa makaburu na wa kwetu. Wao wanasema they are looking for trouble makers and the boers also kept on saying similar words. Unapokuwa na tatizo na wananchi wasikilize badala ya kutafuta mchawi kwamba...
Sijui ni rasimu au ni white paper au ni mwongozo au frame ya katiba mpya hili sasa ndio suala ambalo tuwambie Watanzania na kwamba kule tuendako hatujafika na hatuna sababu ya kupongezana kwani kuanzia jana ndio tumeanza hatua ya kwanza ya safari yetu ndefu ya kuelekea kupata katiba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.