Watoto kufaulu mitihani ama viwango vya elimu vimepanda au mitihani ni miepesi

Mghaka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
320
126
Kama mwaka mmoja uliopita tulipata matokeo ya kusikitisha na chukizo kwa umma wa watanzania Leo tukipata matokeo mazuri ni furaha kwa wote lakini matokeo haya lazima yapite katika indicators zote ili yawe validated kwanza tuone kama mitihani ni ya viwango sitahili au ni miepesi ili kudefeat political pressure around watawala. Kupanua magoli anakosema Meena kupo kwa aina nyingi na moja ni kutunga mitihani miepesi tunaomba mitihani yote ya darasa la Saba na form four iwekwe kwenye thread hii ili tuijadili wadau wa elimu na tujiridhishe kama ilikuwa ni ya kiwango Stahili.
 

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
17,719
11,496
tatizo ninaloliona hapa ni viwango vya maksi ambavyo wanafunzi huenda navyo sekondari. eti mwanafunzi anapata wastani wa 16% anachaguliwa kwenda sekondari! kama sio majanga ni nini? zaidi ya 50% ya wanafunzi waliochaguliwa kwenda sekondari mwaka 2014 wamepata wastani wa kati ya 16% hadi 30%. hapo ndipo serikali ya magamba ilipoifikisha elimu yetu.
 

Camp 05

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,552
776
Lands point iwe asilimia,lakini wanafunzi kufauru siyo zambi,kwakuwa ni mwakajana tu hapa wadau wametoa maneno makari wakidai walimu hawafundishi,sass wanefauru tena maneno, it is totaly incosistency
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom