Kutoka kung'atuka kwake mpaka leo ni Miongo mingi imepita, Hatuwezi kumlaumu Yeye, maana kwa wakati wake alichokifanya na kukijenga kilitenda kazi yake, Tujilaumu wenyewe tunaoshindwa kujenga misingi sasa, na kwa wakati huu tulio nao kwa faida yetu na kizazi kijacho
Ukiitii dhamira yako ya kuacha utaacha tu,
Ukiwa na mawazo ya mpaka upate mbadala umekosea
Pamoja na kujiwekea UADUI na Mungu kwa kunywa pombe , pia unaua uchumi wako na afya yako
Kuliondoa Tatizo hili waone madaktari wa kinywa na meno, ili wakague kama una jino lililooza ,na kulifanyia tiba
Sio wote wanaotoa harufu mdomoni ni kwa sababu ya kutokua na usafi sahihi wa kinywa
ni vigumu sana kuvumila mtoto akipatwa na shida yoyote
Mungu tu atupe neema yake , maana likitokea kuchanganyikiwa ni kawaida
Ukimuona mtoto akiwa kwenye hali ya ugonjwa huu unajua kwamba huo ndio mwisho wake,
Mungu tu kwake hakuna lisilowezekana, Tumtumainie Yeye kwenye shida hizi
kwa faida ya watoto ni vyema ukatafuta jinsi ya kumjulisha mwenzi wako ili asipate hao wadudu, mfikishe tu kwa washauri nasaha watategua hicho kitendawili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.