Hivi unaanzaje kumwambia mwenzako katika mahusiano au ndoa kwamba umeathirika?

Kama unampenda na kumjali utajua jinsi ya kumwambia tu!hivi utakuwa tayari kumuua mtu asiye na hatia coz of your own ego???You lay all the cards on the table and handle the situation as it comes!!

Ndio hapo inabidi umuombe mr au wife we need to talk

unaanza unajua nyingi mpaka unashindwa kufika kwenye point
 
Ni vema kabla hajakutananae wakacheck afya, kwani nini cha ajabu? hakuna asiyefaham HIV sasahivi, better wakacheki ili ata kama mwingine hana akili imrudi na awe mwema, kuliko kuambukizana wote alafu mwisho wa siku watoto wanasaidiwa na ndugu, Afya dili kuliko Pesa jamani ila wasiambukizane kirahisi
 
ngumu sana....
Unamuita tu halafu unaropoka bila kufikiria sana kisha unatafakari nae baadae. Au unamshawishi mkapime huku ukijifanya unamtuhumu kuwa hajatulia. Endapo utakutwa na shoti peke yako, unamueleza ukweli kuwa ulifanya hivyo kwa faida yake. Atapewa ushauri nasaha na atacope na hali.
 
mbona hilo suala dogo sana,kumueleza moja kwa moja hiyo ni ngumu sana, ila hapo unatakiwa kumteka kisaikolojia na kumshawishi mkacheki afya zenu kwa hiyo majibu atayapata hukohuko hospital as suprise.
 
Ndio hapo inabidi umuombe mr au wife we need to talk

unaanza unajua nyingi mpaka unashindwa kufika kwenye point
Ukisikia mtu anakwambia "we need to talk" basi ujue habari si njema.
Hii ni habari ngumu sana na ili kuepukana na majanga kama haya ni bora tu kuwa mwaminifu na haya mambo sijui ya michepuko mwisho wake ndio huko.
Uaminifu ndio kinga ya maovu mengi
 
Kwa mfano, wale walioko kwenye ndoa labda baba na mama wote wanapenda michepuko au mmoja wao ni bingwa wa michepuko mbaya zaidi wanafika mbali hata kinga kwao inakuwa habari gani hawawezi kula pipi na maganda. Pia uhusiano wenu ni long distance labda mnaonana kwa mwezi au miezi kadhaa.

Janga hili

Hapo pa LONG DISTANCE presha imeshuka huku.
Mungu atunusuru.
 
ndugu yangu hii hpana kisa cha kufuga maradhi ha yaani najua nimeathirika af niendelee na maisha hapana kwa kweli why nimuambukize ukweli humueka mtu huru siku zote sion mana ya kunyamaza maybe unambie mm na ww basi ili kuzuia kugundua umeathirika mana ugum hapa ni jinis ya kujieleza umeathirika ni ngumu kumeza hii na why ucheat if you are not happy just leave,,,,,,,,,,,,,,,,
Kubaki njia kuu ni muhim sana ila kwa sasa Kuna ndoa chache ambazo ni za mapenzi nyingi ni za kutafuta njia ya kutokea na kufikia lengo bila kujali upendo wa kweli hali hiyo hupelekea michepuko kwani baada ya muda unashindwa kuvumilia kuwa na mtu ambaye hukumpenda sana ila ulitaka kutimiza lengo.

Nirudi kwenye mada huwezi kumwambia mpenzi nimeathirika kwani hujui kama yeye ni msafi kiasi hicho kusema hivyo ni kuhalalisha fact kwamba kama nae kaukwaa ajue wewe ndio chanzo kaa kimya maisha yaendelee kupata maradhi hayo haimaanishi kesho unakufa maisha bado yapo

Ushauri:
Oa au olewa na mtu ambaye unampenda na uko tayari kuishi nae bila ya kuchepuka na usitengeneze mazingira ambayo mwenzi wako anaweza kutafuta furaha nje.
 
Ukisikia mtu anakwambia "we need to talk" basi ujue habari si njema.
Hii ni habari ngumu sana na ili kuepukana na majanga kama haya ni bora tu kuwa mwaminifu na haya mambo sijui ya michepuko mwisho wake ndio huko.
Uaminifu ndio kinga ya maovu mengi


Lile tangazo linasema ukiwa unampenda utamjali
 
kwa faida ya watoto ni vyema ukatafuta jinsi ya kumjulisha mwenzi wako ili asipate hao wadudu, mfikishe tu kwa washauri nasaha watategua hicho kitendawili
 
Back
Top Bottom