Zitto taarifa hizi zimenifurahisha lakini zingenifurahisha zaidi ningezipata kwa wabunge wetu wa Zanzibar.
Sisi wengine sio wanasiasa pengine wamefahamishwa mambo yao yote waweke siri wakayatoe kwenye makao makuu yao.
Nakupongeza sana unaposimamia haki bila ya ubaguzi. Hukuegemea kwenye siasa...
Mara hii hakuna haja ya kuwapa fursa wawekezaji wa nje kuja kuonesha bidhaa zao. Kwakua viwanda vya ndani ni vingi mpaka vinaweza kukosa nafasi. Nategemea mabanda yataongezeka kwa wiwanda 3000.
Mkuu anaechangia uzi huu bila ya kujua chanzo nawaona wajinga sana. Zanzibar hajawahi kupigwa mwanamke kwa kuvaa nguo fupi haijawahi kutokea. Huo ni udhalilishaji
Sio lazima upandishe majini, wanaume wengi wenye majini unaweza kuwajua kwa tabia zao. Hata mtu mwenyewe anaweza asijue kama ana jini/majini mpaka anakufa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.