HONGERA KUCHAGULIWA! Ili kupata Hostel ingia Home then check ktk orodha ya NEWS utaona "ACCOMODATION APPLICATION FORM" download na fuata maelekezo then itume chuoni. Lakini pia wakati unasubr majibu kwa waliopata hostel mara kwa mara tembelea tovoti hiyo wakati huo huo jaribu kuwa unatafuta...
Hongera sana ndg kwa taarifa yako iliyojaa hekima,hakika umegusa hisia ya kila mmoja wetu hapa jamvin na muasilika katika tukio hili baya la HESLB.Lazima hao jamaa watambue kuna watu bado tupo mikoan hivyo wajipange vizur kwa majibu ya kuridhisha,tunawasikiliza na tunategemea update zenu ili...
Naomba uliza maswali haya;Hizo fomu za kuappeal zinatoka lini? na je kwanini hawajatoa majina ya waliokosa mkopo na sababu za kukosa ili mtu ajitambue na kama atarekebisha bas apewe mkopo. Tunasuburi kusikia kaka.
Pole sana,hata mimi nina case kama yako ila cha msingi wasiliana na chuo then chuo kitawasiliana na TCU/NACTE,na hiyo ni errors tu ya chuo ktk kuaccess Nacte/TCU. Nitambua hili kwa sababu nilipowasiliana na tcu/nacte walidai wao hawapeleki majina ila ni chuo husika kuaccess ktk account yao...
Mimi naweza kufananisha suala hili na mambo mengine yote tunayotaraj kuyafanya hasa yale yanayogusa maisha yetu moja kwa moja kulifahamu kwanza ili uweze kujua namna ya kulikabili ktk hali zote. Hivyo si kabila tu,kuna mengi zaid ya hayo yalojificha,lakini yote hayo ni kujaribu kujua ni namna...
Sister,bila shaka ulikuwa na lengo zuri la kujiunga na diploma. Moja ya malengo yako kama sitokuwa mbali na fikra zako ni ajira ili uweze kuendelea na elimu ya chuo kikuu kwa raha hasa kifedha na kama ujuavyo maisha ya chuo. Hivyo kama ungaliwahi kuunganisha si mbaya lakin kwa kuwa umechelewa...
Hii inaweza tokea kwa sababu watu waliomba mkopo hata kabla ya matokeo ya kidato cha sita hasa wale wa 2013,na baada ya matokeo hana sifa za kuapply TCU,kwa mfano mtu ana principle moja automatically anakuwa ameunguza pesa kwa kutuma body. Mfano hai wa mtu kama huyo ninao,hivyo alipoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.