mkisyeli
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 260
- 76
Nasikia watu nyomi hapo.
Nyomi ya kutosha bt kesho natimba tena
Nasikia watu nyomi hapo.
kwa maana hiyo hata meals na accomodation hamna kupewa???
Nilitaman kumzbua vibao yule mama yaan kanikera
Da ctalisahau neno not secure in my lyfe
HAPA NIPO HESLB tumeshindwa kukubaliana nao maana wanadai watu wa appeal tena SWALI vyuo vimefunguliwa hiyo REGISTRATION hapo chuon utatoa wap pesa?na baada ya ku-appeal ndani ya siku 90 ndio majibu yatatoka je hapo chuon utakuwa na hali gan?kwa ufup wamekaa kkao il tupew jib la msing taarifa zaid n hapo baadae ila this week watatoa kwenye website yao il watu wa-appeal