Recent content by Mgaya.com

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dereva anaharibu mahusiano yangu

    Anatuzingua kumbe!, tupa kule !!
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dereva anaharibu mahusiano yangu

    Jamani pole pole commnt zenu ni mnyalu huyo jamaa akijiuwa mi cmo !! aha ha ha ha!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Times Ziro, Yani Buyu kabisa!

    Labda ulikuwa hujaelewa vizuri mtoa uzi, sikia nilivyoelewa mm! Times fm waliingia mkataba na Davido wa kufanya show tar 1/11/2014 hivyo wao times walitegemea kwamba Tz asingeweza kufanya show yeyote kabla ya tar hiyo ya makubaliano cha kushangaza akatangazwa kuwa atakuwepo Fiesta...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

    Me cmjui hata mmoja ngoja nianze namn
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kuoa mke mwenye umbo zuri na sura nzuri

    Usimsahihishe mtu ilhali wewe mwenyewe hujui! Let love leads kiswahili chake ni "acha mapenzi yaongoze" na lets love ladies ni "acha wanawake wapendwe" hivyo usilazimishe utakavyo!!
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kuoa mke mwenye umbo zuri na sura nzuri

    Mawazo yako ni ya kizamani sana!! Mbona siku hiz wanawake kuwapata ni simple sana mkuu!!?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mashamba yanauzwa Chanika

    Nitakupigia nahitaji shamba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mashamba yanauzwa Chanika

    Wewe ni mshamba!! Umekariri maisha na wajinga ndio waliwao! Mimi nimenunua shamba ekari moja kwa sh 400000/- na ni halali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 29 Septemba 2014 - Maboresho ya Rasimu na Upigaji Kura

    Wao wenyewe wanagongana!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    A. Warioba
  11. M

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    A. Warioba
  12. M

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    A. Warioba
  13. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Katiba Mpya inatengenezwa kwa Mtutu wa Bunduki! Nchi sasa inaendeshwa kijeshi...

    Mungu ibariki Tanzania,
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

    Mwanamke anaringa mpaka anajisahau anakuringia nawewe boyfriend wake!! Si kila mwanamke anaweza kuwa mke!! Tena wala sio makalio makubwa tena wewe mwenye makalio makubwa ni msumbufu ni balaa et kisa wanaume wengi wanakushobokea!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania UWT-CCM, mmeona uchaguzi wa BAWACHA? Mmesikia Bahasha wakigawa bafuni? Majungu je?

    Safi sana CDM naipnda
Back
Top Bottom