Mashamba yanauzwa Chanika

Mashamba yanauzwa Chanika

Mkuu hiyo namba mbona tunapiga haiiti?

Hebu weka nyingine
 
Ok mimi hapa nina nyumba yangu Chanika masantura ila nimewapangisha watu ila naishi mjini.. Pia mimi ni mwenyej wa Chanika kidogo embu nielekeze vzur mashamba hayo yapo maeneo gan haswa?
 
Ok mimi hapa nina nyumba yangu Chanika masantura ila nimewapangisha watu ila naishi mjini.. Pia mimi ni mwenyej wa Chanika kidogo embu nielekeze vzur mashamba hayo yapo maeneo gan haswa?

Mashamba hayo yapo maeneo ya Bwama.
 
mkuu usipinge yapo hayo mashamba hata kule wami pia wanauza hivyohivyo
Hakuna shamba ekari moja kwa milioni moja DSM. Hilo litakuwa shamba limevamiwa na matapeli na wanauza kuwapiga wanunuzi.
 
Namie pia nimejenga Chanika karibu ya Lami ya mwisho.
Bei hizo ni halali kabisa, na ardhi ya chanika ni nzuri sana.
Tena hiyo bei ni rahisi kwa kule, maana kuna mradi wa Barabara ya Lami kuanzia pale mwisho kwenda mbele huko kuunganisha na upande wa lami ya pili. Kwahiyo watu watakuwa wanaweka njia tu za kuingia kwenye mashamba yao.

Sasa mkuu wewe una jumla ya Hekari ngapi?
 
Namie pia nimejenga Chanika karibu ya Lami ya mwisho.
Bei hizo ni halali kabisa,na ardhi ya chanika ni nzuri sana.
Tena hiyo bei ni rahisi kwa kule,maana kuna mradi wa Barabara ya Lami kuanzia pale mwisho kwenda mbele huko kuunganisha na upande wa lami ya pili.Kwahiyo watu watakuwa wanaweka njia tu za kuingia kwenye mashamba yao.

Sasa mkuu wewe una jumla ya Hekari ngapi?

Hekari kumi ndo ziko sokoni...Sasa hapo ni uwezo wako mwenyewe...
 
Back
Top Bottom