Recent content by Mgaigai

  1. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Wakuu,wa kunielezea jinsi ya kutumia match up button na dash&pressure,na hii match up ukiitumia unamfuata opponent mwenye mpira au vipi?
  2. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Wakuu, hivi nikitumia controller ya ps4 efootball vipi?gameplay inakuwa vizuri?Touch controls zimenishinda
  3. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Hivi kutumia matchup ni unaishikilia na directional stick au?Nashangaa mipira inapita katikati ya wachezaji
  4. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds 3,stake high
  5. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Wakuu naomba kuuliza pes21 la pc na ps4 yanafanana ?maana naona kuna mengine yanatofautiana mfano pes17, la pc lipo kama ps3 hivi
  6. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Chief@dronedrake hapa Napo vipi ,step alizotumia mpaka kujaza hio venn
  7. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Najaribu kufanya kwa Ile set mbili ya married na happy, halafu upande wa juu naweka men na wa chini naweka women.Au hii italeta majibu yasiyo sahihi?
  8. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Chief set nne kwa advance inatumika?Si unajua walimu wa bongo
  9. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Ahaa!!!! Hapo naweza malizia.Shukrani[emoji120][emoji120][emoji120]
  10. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Hii ni kutokana na swali hilo tu?Maana inajulikana n(AUBUC)=n(A)+n(B)+n(C)-[n(AnB)+n(AnC)+n(BnC)]+n(AnBnC)
  11. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Chief,samahani Unaweza kuweka mtiririko mzima mpaka unafikia kwenye jibu?
  12. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Nimelijaribu Sana naona Kuna kitu nimeshindwa kukitafsiri .Nasubiri hio solution
  13. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Ai majibu ya mchongo,Nimeuliza swali ninalolijua wameenda Op kabisaa
  14. Mgaigai

    JamiiForums Tanzania Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Na hapa pia
Back
Top Bottom