Recent content by Mgaagaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, umemgonga mtu na ukagundua 100% haujaonekana utafanyaje?

    Unafanyaje kwa situation hii?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki carry

    Hapana, gari nzima ndugu. Na imevalishwa injini mpya.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Suzuki carry

    Suzuki carry Namba C inauzwa, iko barabarani. Picha hizo hapo nicheki mmiliki tumalize. Kama ni dalali fanya unavyoweza inifikie 3 kamili 0744733449. Niko Njombe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Card yangu ya CRDB imemezwa hata sijui nifanyeje

    Ni uzembe wa kiwango cha lami kuomba ushauri kwa tatizo dogo kiasi hiki.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na hili la CRDB tafadhari

    Huyo hana mbio sana, Lipo lenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na hili la CRDB tafadhari

    I mean Upigaji, typing error. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na hili la CRDB tafadhari

    Kama unakopa hela Bank ya CRDB hasa mikopo ya watumishi wa umma kuna fedha wanaiita ada ya mkopo inakatwa mkopo wako ukiingia hii imekaaje? Hakuna upigani hapo, Reply plse kukipambazuka naingia mjengoni.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Tiger

    Tiger au Chui milia ndio anaowawinda Nile clocodille wale mamba hatari zaidi, Na anamtoa kwenye maji tayari kuwa kitoweo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa RPC na team yake ya kusifu na kuabudu

    AIBU Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

    In The Name of The King, Check with me. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Sheria inasema baada ya miezi 6 Kama sikosei tayari Ni mke. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Waungwana Mimi sio mdau Sana wa JamiiForums lakini mara kadhaa nimepata msaada hapa. Leo walengwa ni wale wenye uelewa wa sheria kwa uzoefu au kukaa darasani. Niliwahi kuomba ushauri humu kuhusu kusalitiwa na mama watoto, sasa hali imekuwa mbaya zaidi. Kwa kifupi, ni kwamba tulikubaliana kuishi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Almanusura mtoto atolewe kafara

    Hata Mimi sijaona. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nani ajuae kesho

    Aaah unatumia hisia au una evidence? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nani ajuae kesho

    Amewahi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom