Recent content by MFUMBULWA

  1. M

    vodacom wameamka sasa

    Wizi mtupu!
  2. M

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Wewe ni kijana unaye ishi kwa shemeji yako! Then unataka kutuambia mambo ambayo shemeji yako anayo mwambia dada yako wakiwa chumbani. Tafuta vijana wa size zenu muambiane ujinga huu!
  3. M

    Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    Acha unafiki! Simama kwenye hoja ya msingi. Huwezi nyamaza!
  4. M

    Kutokana na Maelezo ya Lissu, Zitto Zuberi Kabwe Ameishavuliwa Rasmi Uanachama CHADEMA!

    Kweli wewe SIMBILISI. Watu wa Mbeya wanajua nn maana ya Simbilisi!
  5. M

    Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    Haya ni matatizo tuliyo jitakia wenyewe ya kumlea nyoka akiwa mdogo kwa kumlisha unga sasa amekuwa anataka kula watoto! Zito ni nyoka anaye taka kumla mwenye nyumba sasa kwani amesha maliza watoto! Lazima aondoke huyu nyoka asiye na fadhila.
  6. M

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Inatisha sana ndg yangu! Lakini Mungu yupo na malipo ni hapa duniani. Siku zao zinahesabika! Na mwisho wa ubaya ni AIBU.
  7. M

    Mwanasheria Mkuu awakaanga mawaziri

    Sijui Ccm mtawambia nn hao Wananchi wakati wa kuomba kura mwaka 2015.
  8. M

    Nguvu ya Umma is synonymous to mob justice, ipigwe vita Haraka sana.

    Unaongea upumbavu! Chadema imetokea wapi na mauaji haya! Yeye marehemu ni nn kimemsababishia kifo? Yeye hajachukua hakumu ya kuuwa mkononi? Kwanza hujui nn unakiongea kuhusu mada uliyo iweka hapo! Na wasiwasi na uwezo wako wa kielimu katika sheria ama elimu yako ya msingi.
  9. M

    Pres Jakaya Kikwete, You have made us proud!

    Nimefarijika na hotuba ya Raisi wangu na kuiona thamani yangu kwa wa Afrika kusini! Tatizo langu mm na yeye ni hapa nyumbani tu!
  10. M

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Majibu. 1.Alikwisha iona hukumu ambayo inge kuja kumpa ushindi. 2.Jeuri ameipata toka kwa PM" piga tu kama hawa tii sheria tumechoka" 3. Nikweli kabisa ukaribu wake na Hakimu alioutengeneza kutokana na Madaraka yake ndiyo kikwazo pia na ile kauli ya asiye nacho hana haki! 4.Angewezaje kusimamia...
  11. M

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    Nimefarijika na maneno yako ya busara ndg yangu! Hakika tunahitaji kumsamehe na Chama kisonge mbele. Hatuhitaji marumbano tena tunacho hitaji ni kulikomba Taifa letu kutoka mikononi mwa wahaini Ccm!
  12. M

    Ombi la Lema kwa Zitto na kauli ya Werema - Unganisha dots...

    Nimefurahishwa na wito wa mtoa mada kwa Zzk! Sina Imani na ushahidi unao jenga hii mada! Naziona mbinu za kujisafisha za ZZK zisizo kuwa na mashiko! Naona mbinu ya mtoa maada kujaribu kujenga uhusiano na Zzk kwa kipindi hiki Kigumu kwa Zzk! Nayaona matamanio ya Madaraka ndani ya hii mada...
  13. M

    Dr. Slaa Ndani ya Tabora akiimarisha chama,, awashukuru wanaKigoma

    Kama hatuna cha kuchangia ni bora tunyamaze! Baba yako Ccm anapendwa na watanzania.
Back
Top Bottom