pale kariakoo palifanyika ukarabatii wa mitaro ya maji taka ya chini ya ardhi, katika ukarabati ule yalitumika mabilioni ya shilingi nandio ukarabati mmbovu kuliko yote iliyowahi kutokea, hapa nchini lakini hadi leo wasimamizi wa huo mradi wanaendelea kula vijisenti vyao.
pale mitaa ya sinza na votongoji vyake wanamjua huyu mtoa kauli kali, yakuwa licha ya kuwa na kilibatumbo lakini akiwa dar uingia nyumba za wageni tofautitofauti akiwa na mabinti zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, nainasemekana ndio hao wengine waliokamatwa huko china na kwingineko siku tatu baada...
pale isimani kulikuwa ndio kitovu cha mahindi yakutoka mkoni iringa, enzi hizo mashamba yote makubwa yalikuwa ya wazee wakislaam toka mjini iringa, nauzalishaji ule ulikuwa unalisha sehemu kubwa ya nchi hii, lakini kwakuwa sehemu kubwa ya mashamba yalimilikiwa na waislam kulikuwa navisa vingi...
Sinza A leo ni siku ya sita hakuna maji ya bomba, na hakuna taharifa yoyote juu ya ukosekanaji wa maji hayo: kutoka mamlaka husika hata serikali ya mitaa hawatoi taharifa ya tatizo hizo; hivyo basi mlipuko wa magonjwa ukitokea sinza watu wasishangae habari ndio hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.