Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara.
Location: Dodoma
Miezi kadhaa sasa "maeneo mengi" ya Dodoma Maji yamekuwa shida kubwa. Hayatabiriki. Yanatoka siku 3 yanapotea wiki 3.
DUWASA mmepatwa na nini? Kwa nini hamtoi tahadhari wala maelezo yoyote kwa wateja wenu.
Au population imezidi uwezo wenu wa kutoa huduma?? Ni maswali ambayo wateja wanauliza na...
Anaandika Tundu Lissu:
Naomba na hili la maafa nilizungumzie kidogo kabla halijazikwa na maajabu mengine ya nchi yetu.
Nadhani Mheshimiwa Rais wetu ana tatizo kubwa na misiba ya kitaifa ambalo wanaofahamu zaidi wanabidi watueleze.
1. Walipokufa wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent Arusha...
Baada ya kuwang'ang'ania sana na wakakosa cha kunidanganya kuhusu matumizi ya simu ya kawaida sasa wananiambia eti nilijiunga na huduma ya "tigo hadithi URITHI WA MTOTO", sijui ndo madude gani
Inaonyesha kuna watu wengi sana wameunganishwa 'default settings' huko bila kujua, so ukiweka salio tu...
Juzi nimeweka salio sh.1000 kwenye simu ajabu nimeamka imebaki 852, which means kuna hela ilikatwa
Jana tena nikasema ngoja nijaribu, yawezekana kuna kitu nilifanya, nimeamka imepungua tena, na wala sijapiga wala kutuma msg wala kuwasha data, na kiwango kinachokatwa ni kama kinafanana
Na muda...
Hakuna siri tena. Leo tarehe 30:03:2018, saa tisa kamili (9:00) alasiri, saa ambayo Bwana Yesu Kristo alikata roho msalabani, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika muda ule ule, Paul Makonda (A.D. Bashite), alikuwa anafungua kikao maalumu cha kupanga mambo maovu dhidi ya viongozi waandamizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.