Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,054
- 288,519
Huyo kibopa bado yupo ?
Huyu mtu aliishia wapi?
Enhee anagawa mitaa ya wapi siku hiziBado yupo
Pesa ni pesa tu. Pokeeni wala msihofu...Pesa za kuzimu hizo asiwe ni yule kijana wa kilombelo kuweni makini naye huyo maana yupo kijana kule ifakara ndio tabia yake siku nyingi tu na akikufahamu hakupi anazo gawa atatoa waleti yake akupe toka huko ninyi ndio mtakuwa Pesa endeleeni kupokea
Pesa za kuzimu hizo asiwe ni yule kijana wa kilombelo kuweni makini naye huyo maana yupo kijana kule ifakara ndio tabia yake siku nyingi tu na akikufahamu hakupi anazo gawa atatoa waleti yake akupe toka huko ninyi ndio mtakuwa Pesa endeleeni kupokea
Hata mimi nashangaaZina madhara gani?
Huyu sio yule nabii shilaah
Kwa usawa huu angetokea tena sijui ingekuwa vipi
Atakuwa katusua za kwenye kubet
Baba mgawa fedha uko api ?!
Yuko maeneo ya wapi.Pesa za kuzimu hizo asiwe ni yule kijana wa kilombelo kuweni makini naye huyo maana yupo kijana kule ifakara ndio tabia yake siku nyingi tu na akikufahamu hakupi anazo gawa atatoa waleti yake akupe toka huko ninyi ndio mtakuwa Pesa endeleeni kupokea