Sheria inasema hivi ukipata taarifa za mkeo au mumeo yupo somewhere anagegedwa au anagegeda hautakiwi kwenda pekeako kufumania kinachotakiwa utatafuta mashahidi (watu) ili kujenga ushahidi usiokuwa na mashaka, utakapothibitisha kuwa nikweli umemfumania mkeo/mumeo kinachofuata utaenda Mahakamani...
Kama ni mwizi acha afe tu maana wanakera sana, wewe unaewatetea hayajakukuta na inawezekana hujawahi kuvunjiwa nyumba na kuibwa vilivyomo ndami
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu Biblia imeelekeza kubatizwa kwa watoto wadogo na sijui mnabatiza kwa kutumia Biblia ipi???? Enyi kizazi cha Nyoka badilikeni, watoto hawabatizwi Bali wanabarikiwa tu, Hata Yesu mwenyewe hakubatizwa kipi mtoto alikuja kubatizwa akiwa MTU mzma....badilikeni bana
Sent using Jamii...
Kweli kabisa hatukatagi tamaa Mimi kuna mwanamke nilianza kumtongoza toka 2013 kaja kukubali 2017....... ata kutafuta maisha tu huwa hatukati tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina ndo kaleta ajira kibao kwa vijana mfano 90% ya boda boda kaleta mchina, 95% ya miradi mikubwa kama barabara kajenga mchina, UDOM kajenga mchina namengine mengi tu..... ..lakini Hayo mataifa ya magharibi wapo kimaslahi zaidi..... Mchina ndo habari ya mjini kwasasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.