Kweli kabisa hatukatagi tamaa Mimi kuna mwanamke nilianza kumtongoza toka 2013 kaja kukubali 2017....... ata kutafuta maisha tu huwa hatukati tamaaKuna situation imentokea leo nimejikuta nacheka, wanaume mbarikiwe hamjuagi kukata tamaa kabisa.
Mwanaume ni moja kati ya viumbe walioko hatarin kutoeka dunian bila wanasayans kujua[emoji125][emoji125]
Itakuwa jamaa... inataka kula nunuu yakoKuna situation imentokea leo nimejikuta nacheka, wanaume mbarikiwe hamjuagi kukata tamaa kabisa.
Huyo sio mwanaume, ila ana Jinsia ya kiume. Kuweni na adabu, acheni kutudhalilisha wanaume.Kweli kabisa mana sikuhz wengine wamegeuka wanawake wenzetu, mbaya zaidi unaweza kuwa na mume ndani kumbe akitoka nje ni mwanamke mwenzio [emoji848]
Kwa sababu na hao wanasayansi wengi wao ni wanaumeMwanaume ni moja kati ya viumbe walioko hatarin kutoeka dunian bila wanasayans kujua🏃🏃
Kuwa na adabu mtoto wa kike... Sisi baba zako.Kweli kabisa mana sikuhz wengine wamegeuka wanawake wenzetu, mbaya zaidi unaweza kuwa na mume ndani kumbe akitoka nje ni mwanamke mwenzio [emoji848]
Pale Expectations zinapokuwa chini ya hali halisi mkuuHawa viumbe kweli wa ajabu, mwanaune anaweza kukufukuzia miaka hata 10 lakini akikupata mnaweza hata mwaks msimalize kashakukinai anaenda kuoa aliekutana nae chini au ndani ya mwaka 1
Very true, kila mwanaume ana yule mwanamke ambae alichukua muda sana kumnasaKweli kabisa hatukatagi tamaa Mimi kuna mwanamke nilianza kumtongoza toka 2013 kaja kukubali 2017....... ata kutafuta maisha tu huwa hatukati tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app