mheshimiwa uko sahihi kabisa,hawa TUGHE ni wapuuzi kupita kiwango,kuna malalamiko mlengi kwenye serikali za mitaa kuhusu mmishahara na ufisadi mwingi uko huko,nashangaa hawaongelei hili wanaongelea kutajwa mishahara ya rais na waziri mkuu,angalia kweny mtandao utaona mishahara ya viongozi...