Recent content by mfodo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kama hawa, sahau kufanikiwa

    Kwa utetezi wako huu basi bila shaka tarari umeahapigwa na kitu kizito. Tuambieru umeangukia kwenye namba ngapi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

    Lakini aliyosema si yalitokea! Huruma yako baki nayo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    Kweli nawe huna akili, unamtumia malaya kilo tatu nzima??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vichengerwa & Vi-Msoga vinaandaliwa ufalme

    Achana nae huyu hata hajui alipatikanaje
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jina gani la ukoo lilikuwa likitajwa darasani ilikuwa lazima watu wacheke?

    Keshomshahara
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siku tutakayokufa ndio tutaujua Ukweli kuhusu hatma yetu baada ya kifo

    Mkuu ukisha kufa umekufa,,, kaburini hakuna kujua tena.. Sikiliza nyimbo moja ya wasabato inaitwa makaburi, king'ongo sda
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Mheshimiwa, nadhani huu mjadala wajadili hawa mama za hawa watoto wanaotelekezwa . Lakini kiufupi shida ipo kwa mama zao, ni vichomi..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maskini watumishi na wafanyakazi, wanakatwa kodi na kulipwa mshahara kiduchu

    Hawahawa vilaza wanaokesha kushangilia ,,,,,eti mtumishi anakomeshwa,,,,,,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maskini watumishi na wafanyakazi, wanakatwa kodi na kulipwa mshahara kiduchu

    Unaweza kuwa unafikiria kaa kurudi nyuma,,, libya walikuwa na shibe, sisi tuna njaa,,, kwa mawazo yako unadhani mtu alieshiba na mwenye njaa wanamahitaji sawa,,?
Back
Top Bottom