Hamisi senga
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 327
- 332
Hakuna na mwanamkeamafanyaje fundi?
Hakuna na mwanamkeamafanyaje fundi?
Mwanaume ni mhanga zaidi kwenye ndoa kuliko mwanamke kwasababu wanawake wengi siku hizi wanavizia mali kwa wanaume kama yule wa Ashraf hakimi mwanamke hakuna anachopoteza kwenye ndoa.Halafu wanarudia hayo kwa hayo kila siku...
Wanawake imekuwa kama kitisho katika jamii nowadays...malalamishi kutoka baadhi ya wanaume yashakuwa mengi... too much pilipili
Wala hyo sio shida wanawake wengi siku hizi wanatamaa wanakuja kwa maslahi kama yule wa MC PILIPILI.Mwanaume anayeshindwa mwongoza mwanamke hawezi kuwa kiongozi. Binadamu wameumbwa kuwa wawili yaani mke na mme, mwanamke aongozwe na mme. Mke amheshimu mme wote wawili walete familia duniani ili kutimiza mpango wa Mungu. Mwanamme kushindwa kumwongoza mke wake ni sawa na kipofu kumwongoza kipofu mwenzie. Mwanamke ni kipofu anapaswa kuongozwa na kupewa maelekezo na mme wake. Sasa ukimwaacha peke yake nani atamwongoza, huko ni kukwepa majukumu. Tatizo wanaume wengi wanaoa wake za watu ndio maana wanafeli kuwaongoza wanawake. Ulichukua mradi ulio anzishwa na mwingine.
Atakua alikua ni mke wa mtu yaani MC pilipili baada ya kuwa maarufu ameenda kupata mwanamke ambaye sio wake. Mwanamke wake asingeweza kumkimbia.Wala hyo sio shida wanawake wengi siku hizi wanatamaa wanakuja kwa maslahi kama yule wa MC PILIPILI.
Inawezekana ila tatizo kubwa vijana siku hizi hawataki kuoa na sababu kubwa ni mgawanyo wa mali hili kwenye kikao chenu iwe agenda kuu hasa vijana wa kikristo.Atakua alikua ni mke wa mtu yaani MC pilipili baada ya kuwa maarufu ameenda kupata mwanamke ambaye sio wake. Mwanamke wake asingeweza kumkimbia.
Jamani...ndio mmeshindwa kabisa kuwabadilisha na nyie ndio viongozi. Kuna pahali mmekosea sana. Ila jinsia zote nowadays zimekuwa janja janjaMwanaume ni mhanga zaidi kwenye ndoa kuliko mwanamke kwasababu wanawake wengi siku hizi wanavizia mali kwa wanaume kama yule wa Ashraf hakimi mwanamke hakuna anachopoteza kwenye ndoa.
Kwa utetezi wako huu basi bila shaka tarari umeahapigwa na kitu kizito. Tuambieru umeangukia kwenye namba ngapiunavyoandika hapa hizo kasoro za wanawake ni kama vile sisi wanaume ni wakamilifu sana tusio na kasoro..ingekuwa ni bora unge balansi mzani pande zote..sasa tumeona aina za wanawake tukiwa nao tusahau kufanikiwa..sasa pia tujuze na aina za wanaume ambao tunaweza kuwakwamisha wanawake kufanikiwa kwa upande wao.
Huyo kwenye picha anapatikana wapi?Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.
Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja mbele, afu unarudi mbili nyuma.
Mwanaume mwenye malengo unatakiwa kuwaepuka hawa:
1. Mwanamke Mzuri Bila Akili
2. Mwanamke Anayependa Maisha Laini (Soft life)
3. Mwanamke Asiyekubali Uwe Mbali Nae
4. Mwanamke Anayetawala Wanaume
5. Mwanamke Anayelenga Kipato Chako
6. Mwanamke Aliyekufa Kiroho
7. Mwanamke Anayejivunia Muonekano Wake
8. Mwanamke Mwenye Sumu ya haki sawa
Kaka, usibebe mzigo ambao maisha yako hayawezi kuubeba. View attachment 3451295
Sheria zinawabebaJamani...ndio mmeshindwa kabisa kuwabadilisha na nyie ndio viongozi. Kuna pahali mmekosea sana. Ila jinsia zote nowadays zimekuwa janja janja
Kama tumekengeuka kwenye dini...wacha tu sheria za dunia ziwabebeSheria zinawabeba
Ukweli upoo hapaMwanamke yeyote ni kujichelewesha tuu, unafikiri fundi seremala alikua boya!jamaa alijielewa sana
Kwendraaas huko kuna wanawake hawana akili kabisa yeye muda wote anapenda mchatigi TU, na kupigiana simu na anajua una kazi aiseeeMwanaume anayeshindwa mwongoza mwanamke hawezi kuwa kiongozi. Binadamu wameumbwa kuwa wawili yaani mke na mme, mwanamke aongozwe na mme. Mke amheshimu mme wote wawili walete familia duniani ili kutimiza mpango wa Mungu. Mwanamme kushindwa kumwongoza mke wake ni sawa na kipofu kumwongoza kipofu mwenzie. Mwanamke ni kipofu anapaswa kuongozwa na kupewa maelekezo na mme wake. Sasa ukimwaacha peke yake nani atamwongoza, huko ni kukwepa majukumu. Tatizo wanaume wengi wanaoa wake za watu ndio maana wanafeli kuwaongoza wanawake. Ulichukua mradi ulio anzishwa na mwingine.
Mama ndo kila kitu kabisaaa umeongea ukweli mkuu🔥Yawezekana hivyo. Na yawezekana huyo mwanamke strong akawa mama na sio mke...na yawezekana mwanamme akafanikiwa akiwa peke yake bila mwanamke
Hatutakiwi kukariri
Achana na mambo ya usawa mkuuunavyoandika hapa hizo kasoro za wanawake ni kama vile sisi wanaume ni wakamilifu sana tusio na kasoro..ingekuwa ni bora unge balansi mzani pande zote..sasa tumeona aina za wanawake tukiwa nao tusahau kufanikiwa..sasa pia tujuze na aina za wanaume ambao tunaweza kuwakwamisha wanawake kufanikiwa kwa upande wao.
Utajuaje kuwa huyo unayemtaka ni mke wa mtu?Atakua alikua ni mke wa mtu yaani MC pilipili baada ya kuwa maarufu ameenda kupata mwanamke ambaye sio wake. Mwanamke wake asingeweza kumkimbia.
Unaafiki kuwa Mwanamke ni kipofu? Huamini kuwa Mwanamke anaweza kuongoza?Mwanaume anayeshindwa mwongoza mwanamke hawezi kuwa kiongozi. Binadamu wameumbwa kuwa wawili yaani mke na mme, mwanamke aongozwe na mme. Mke amheshimu mme wote wawili walete familia duniani ili kutimiza mpango wa Mungu. Mwanamme kushindwa kumwongoza mke wake ni sawa na kipofu kumwongoza kipofu mwenzie. Mwanamke ni kipofu anapaswa kuongozwa na kupewa maelekezo na mme wake. Sasa ukimwaacha peke yake nani atamwongoza, huko ni kukwepa majukumu. Tatizo wanaume wengi wanaoa wake za watu ndio maana wanafeli kuwaongoza wanawake. Ulichukua mradi ulio anzishwa na mwingine.