Na alivokuja Obama aliingizia hiyo ishu Kenya!! Kuwa wawape haki tu !! Lakin hakuja kulileta Tz!!
Rationale:Alikua anajua kua kuna idadi kubwa ya raia wa hivo Kenya!! Kuliko pengine
Ko ule usemi wa Mwenye kingi muongezee
wewe umeshika huo wimbo mdogo tu wa bob marley but mimi nimemsikiliza sana bob marley na discography yake. kiakili bado unaonesha wewe hujawa huru maana unadhan uhuru ni kuukataa ukweli. huo ndo ufungwa mbaya.tulipaswa kujiuliza tumeangukia wapi.tunashida gani.... na si kujifariji
Unapoint...
Kwa utafiti Mdogo niliofanya n kua Kenya ina idadi kubwa zaidi ya gays kuliko nchi nyingine za East Africa!!...
Hasa wengi wakitokea Mombasa Na Nairobi
Ikumbukwe kua Google walishatoaga riport kpnd cha nyuma kua Ktk East Africa Kenya ndio wanaongoza kugoogle neno "Gays"... Ikiwa n ktk nyanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.