Recent content by Mfinanga 1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Celebrities Tanzania unatia mashaka

    Upo sahihi.. Ata amir leta Uzi hajui alicho andika
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Mr Blue, arudi tena na wimbo mpya 'Mapenzi

    Kabayser anajua, na ngoma nshaiskiza ipo mkao sana..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakika Christian Bella is the king of best melody in Tanzania

    Alaf ana nyingine ni ya muda kidogo alifanya na Mr blue,hahaha wanalalamika huko ndani mbaaaya, Yani bonge la ngoma
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taja jina la mtu ambalo ukilisikha linakuchekeshaga

    Habakuki Ambakisye mwakiso
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo kutoka Tanzania Movie Talents

    Wana TMT vp na Moshi hamfiki?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mr. Blue: Wema Sepetu na Naj walinifilisi Sana

    Si analalamika, Wamemchuna sana jamani, khaa.. Bora ssa amekuwa analitambua hilo.. Maliza kibanda chako ulale kaka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii 10 matajiri Bongo

    Kweli tajiri anapanga!! Tajiri hana miradi, duu hii hatar sana, bora ata Prof J na jide, hilo li Omy kaa, huu ni uwongo na show zenyewe za nje ni clubs na B day wapate mkwanja huoo..maamae
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe ni Mtumishi wa Mungu

    Kwa kweli wew moto unakuhusu, na stori yako ya ku goggle maana huna upeo wakusema mambo usio jua, sababu huna elimu kwanza..Shwain wew
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama unatokea Zenji kuja Dar,uzee mwisho wapi?

    Hahaha kama unatokea Bagamoyo..uzee mwisho Bunju
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Mjini cha bure salamu2
Back
Top Bottom