Recent content by mfichuamambo

  1. mfichuamambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimrudie Ex wako unaweza kuvuna kifo analia anataka kurudi huyu mjinga

    Huwa mnajiandika usoni mkianza kututongoza maana huwa mnakuja kama malaika
  2. mfichuamambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimrudie Ex wako unaweza kuvuna kifo analia anataka kurudi huyu mjinga

    Baba alokana wanae?
  3. mfichuamambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimrudie Ex wako unaweza kuvuna kifo analia anataka kurudi huyu mjinga

    Yaani mwenzangu nimekoma
  4. mfichuamambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimrudie Ex wako unaweza kuvuna kifo analia anataka kurudi huyu mjinga

    Namshukuru Mungu sana baada ya kutekelezwa na mimba na Ex wangu nakumbuka hadi nilitamani kuitoa (Mungu anisamehe sana haya mawazo sijui yalitokea wapi) Nililea mimba mwenyewe hadi nikajifungua mungu alivyo mwema nilijifungua mapacha maana mimi pia nilizaliwa pacha lakini pacha wangu alikufa...
  5. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Wazungu wanakwambia "Golden chance' sasa hivi mhafidhina Trump ameingia na hapendi mashoga Huu ni wakati kama nchi kuwashughulikia hawa wadudu wanaoitwa mashoga na wasagaji Serikali ifanye yafuatayo Marufuku ushoga na mashoga kuanzia maeneo ya wazi kuanzia kwenye mabar mahoteli migahawani iwe...
  6. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Mwenye namba ya doroth Gwajima naiomba
  7. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Nashindwa hata nieleze vp[emoji24][emoji24] nilitamani hata nisiitaje maana nitaonekana kama naipromote jee bila kuitaja wahusika wataitambuaje ili waifungie?
  8. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ninaandika haya kwa uchungu mkubwa sana labda hii post serikali itaiona walifanyie kazi haraka sana. Kuna dating app moja ya mashoga inafanya kazi hapa nchini ambapo mashoga huitumia kujitangaza na kukutania kufanya ushetani wao Hii app kwanini "TCRA" wameiacha?Hii app ni maalum kwa ajili ya...
  9. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Serikali, kero ya foleni ya Buguruni ni hadi lini?

    [emoji24]
  10. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pugu ni mji wa zamani lakini haukui?

    Pugu wapo eeeh?
  11. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Jaribu kusign up new account ujaribu uone inavyosumbua kabla hujatetea ujinga hapa
  12. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Heee bibi mfumuko wa bei umekushindwa kuzibiti, utaweza mambo mazito?Nahisi hata maamuzi hufanyi wewe, kiujumla uwezo wa kuongoza huna.Huo ndo ukweli ukubali ukatae, wanaokusifia wakusifiye mimi ni mwanamke mwenzio nakwambia tu bibi we uwezo huo huna!Karama ya kuongoza huna Umeshindwa mfumuko...
  13. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mmeona vitu vinapanda unga kilo tano ni elfu 8 mchele umefika 2500 huku mmbande vitu vimepanda hadi cream lotiob na tyubu nazo zimepanda,mama samiya kweli umeshindwa kudhibiti mfumuko jee utaweza kutuvusha kipi kingine, umeshindwa kudhibiti mfumuko utaweza nini mama yangu?juuzulu ukalee wajukuu...
  14. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Chamazi Mbande inasumbua sana ina foleni ya ajabu wakati mwingine

    Hii barabara ni nyembamba halafu foleni ikitokea panakua na shida maana wanaotokea mbagala wanaingilia na hii njia ya kurudi mjini nayo wanaiendea Maana yake njia zote mbili ya kwenda mbande upande wa left na huu wa kurudi mbagala yaani left zote zinageuzwa kuwa barabara moja tu ya kurudi...
Back
Top Bottom