Recent content by Mfenesini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakika hoja za kisiasa zimekwisha yamebaki haya

    Ni kweli kabisa mkuu, watu tupige kazi ili tujenge taifa letu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mshikaji wangu kaoa Tanga anajuta

    Mleta uzi hata kuandika hajui :(:(
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    Hii ni habari njema sana.....hatimaye wananchi wataisha kwa amani....ahsanteni sana vyombo vya ulinzi na usalama na serikali kwa ujumla.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbunge wa CCM alifanya utaratibu wa upatikanaji wa ndege iliyombeba Lissu

    Duu kwa hiyo CHADEMA walivyoweka hili kama siri walijua haitajulikana nini.......kweli huwezi kujua nani atakufaa kwenye shida
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mpenzi/mchepuko/mke wako kukupangia style za kufanya mapenzi???

    lengo ni kila mmoja aenjoy.... kwa hiyo kama anaumia kusema ni muhimu ili kuboresha mambo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi siku hizi hawaolewi? Wengi hupishana na wanaume zao

    Mimi huwa naamini kuolewa ni mpango wa Mungu.....hata uwe mkamilifu kiasi gani kama Mungu hajapanga hauwezi kuolewa
  7. M

    JamiiForums Tanzania AJALI: Mabasi ya Mwendo Kasi yagongana eneo la Shekilango na kusababisha foleni kubwa Morogoro road

    poleni sana kwa wote mliokaa vituoni mkisubiria usafiri.
Back
Top Bottom