Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

Bob Karanga

Member
Jan 31, 2017
42
25
GOOD NEWS KIBITI SASA SHWARI
========================================

Yule jambazi mkuu kwa jina la RASHID KAPERA aliekua anaongoza vikundi vya mauaji ya viongozi wa Dini, Serekali, Askari Polisi na Wananchi katika maeneo ya kanda ya pwani MKIRU (MKURANGA, KIBITI na RUFIJI) ameuawa kwa ushirikiano wa hali ya juu wa vyombo Vya Dola waliofanikisha zoezi la kugundua makazi ya jambazi huyo maeneo ya Mbagala Dar es salaam ambapo alikua anaishi kwenye nyumba yenye vyumba tofauti, jambazi huyo alikua akilala ndani ya nyumba hiyo mda wa mchana na usiku alikua akilala nje(pembeni) ya nyumba hiyo ambayo ilikua haijakamilika.
Mauti hayo yalimkuta alipokua akijaribu kupambana na vyombo vya dola walipokuja kumkamata ili kumfikisha mbele ya sheria.
Serikali kupitia vyombo vya dola nchini kote imetoa onyo kali kwa wale walioshirikiana nao na wanaoshirikiana nao kwa namna yoyote katika vitendo vya ujambazi na mauaji kuwa imewabaini na itawakamata na kuwafikisha mbele ya mkono wa sheria.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.53.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.53.jpeg
    49 KB · Views: 61
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.47.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.47.jpeg
    59.4 KB · Views: 51
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.40.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.40.jpeg
    47.8 KB · Views: 58
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.38.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.38.jpeg
    46.8 KB · Views: 58
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.28.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.28.jpeg
    122.6 KB · Views: 59
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.04.50.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.04.50.jpeg
    77.7 KB · Views: 69
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.04.51.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.04.51.jpeg
    78.7 KB · Views: 51
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 14.58.10.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 14.58.10.jpeg
    37.7 KB · Views: 60
Anatambulika kwa jina la Rashid Kapela aliyekuya jambazi mkuu mhusika na mauaji ya kibiti.

Picha mbili za kwanza zinaonyesha akiwa hai na baada ya kuuwawa alipokuwa akijaribu kukimbia.

Pia picha ya nyumba ndipo mahali alipokuwa analala wakati wa mchana, na usiku alikuwa akilala kwenye hiyo nyumba ambayo haijaisha na ndipo alipokutwa na vyombo vya ulinzi na usalama.
[HASHTAG]#kibiti[/HASHTAG] [HASHTAG]#shwari[/HASHTAG] [HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#jambazi[/HASHTAG] [HASHTAG]#uzalendo[/HASHTAG]
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.47.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.47.jpeg
    59.4 KB · Views: 47
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.53.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.53.jpeg
    49 KB · Views: 37
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.40.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.40.jpeg
    47.8 KB · Views: 37
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.38.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.38.jpeg
    46.8 KB · Views: 27
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.28.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.12.28.jpeg
    122.6 KB · Views: 37
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.04.50.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.04.50.jpeg
    77.7 KB · Views: 47
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.04.51.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 15.04.51.jpeg
    78.7 KB · Views: 36
  • WhatsApp Image 2017-09-14 at 14.58.10.jpeg
    WhatsApp Image 2017-09-14 at 14.58.10.jpeg
    37.7 KB · Views: 39
Mi nikajua wana maisha mazuri.kumbe wanalala kwenye mabanda tu,.Halaf aliyokuwa maarufu nilidhani atakuwa mla bata kwa sana.kumbe mchimba chumvi tu kama Mimi.
Na hyo bunduki kama walimkuta nayo Itakuwa alikuwa anawindia nguruwe pori maskini.
Hao watu huwa wana maisha ya ajabu sana. Ni shetani tu anawaongoza, na mambo ya shetani ndo kama tunavyoyajua, ni tia maji tia maji tu... Hakuna kuenjoy maisha

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Hiyo picha ya marehemu duh! Maiti ya marehemu jambazi mkuu inatabasamu tu. Nchi ya vi-wonder....

Tafuteni waliomshambulia Mh. Lissu, msitutoe relini

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Jamani tusaidiane huyu alikuwa jambazi au alikuwa ndiyo anayeuwa watu maana katika taarifa nyingi ni kuwa watu walikuwa wanauwawa tu bila kuchukulkiwa chochote na je kwenye ili list ya wanaotafutwa yupo?
 
Nimerekebisha kuelezea vizuri. Please soma tena
 
GOOD NEWS KIBITI SASA SHWARI
========================================

Jamani tusaidiane huyu alikuwa jambazi au alikuwa ndiyo anayeuwa watu maana katika taarifa nyingi ni kuwa watu walikuwa wanauwawa tu bila kuchukulkiwa chochote na je kwenye ili list ya wanaotafutwa yupo?
JAMBAZI NA MUUWAJI WOTE WATU WABYA TU. . . . SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA JUSTIFICATION YOYOTE KWENYE HILI. BAD GUY GONE!!!
 
Anatambulika kwa jina la Rashid Kapela aliyekuya jambazi mkuu mhusika na mauaji ya kibiti.

Picha mbili za kwanza zinaonyesha akiwa hai na baada ya kuuwawa alipokuwa akijaribu kukimbia.

Pia picha ya nyumba ndipo mahali alipokuwa analala wakati wa mchana, na usiku alikuwa akilala kwenye hiyo nyumba ambayo haijaisha na ndipo alipokutwa na vyombo vya ulinzi na usalama.
[HASHTAG]#kibiti[/HASHTAG] [HASHTAG]#shwari[/HASHTAG] [HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#jambazi[/HASHTAG] [HASHTAG]#uzalendo[/HASHTAG]
Killer has been killed. . . .DONE!!! Kama nawaona washirika wake vili walivokua na kiteteeee
 
Kwa jinsi polisi walivyomuunganisha na matukio mengi na mtu mwenyewe alivyo inatia ukakasi.
Nakama ni kweli basi hakustahili kufa, angetakiwa kupewa matibabu ya kisaikolojia afanywe askari shupavu maana amewasumbia polisi kwa muda mrefu na sio polisi tu na vitengo vingine muhimu hata mabaka tuliwaona.
 
jina kapela ni la wasukuma
 
Back
Top Bottom