Mwamba kumbe ile speech ni recorded from Mafichoni. The Chanzo walikua wanaonesha wakakatisha! Iliyoonesha hadi mwisho ni akaunti yake pale youtube pekee
Babu usiombe hii kitu. Ilinikuta na nina watoto watatu. Wote wanatakiwa kurudi shule…hapo nina ada ya kianzio ya mtoto mmoja! Nikalipa robo ya kwanza ya huyu mkubwa…wawili wakapaki basi home. Tunaamka tunatizamana huku stock ya msosi inaendelea kukata. Nilikopa hadi kwa Ex- wangu! Ila Mungu...
Ndoa sio ajira....wanawake fanyeni kazi mzalishe mali. Ku*ma sio tiketi ya utajiri.
Najua kuna watakaosema mwanamke ana mchango katika kutafuta hela za Mosha. Basi atumie mchango huo kutafuta za kwake mwenyewe kama kweli huo 'mchango' anao.
Driver wa Gari namba T51..DMH nicheki inbox....nina zawadi yako!
Ku-prove wewe ni muhusika itabidi umalizie namba iliyoachwa wazi hapo na useme ni gari aina gani..
Hint: Ulikua unaendesha kwenye hii stretch: Africana - Njia panda ya kawe leo asubuhi (between 6:40 - 7:00am). Seat ya pembeni...
Shime watanzania woote muwe mnarejea makwenu kipindi cha sikukuu kusherehekea na jamii zenu! Inaleta faraja sana ikizingatiwa mwaka mzima mmekua busy kuchuma sio mbaya mafanikio mkaenda kugawana na wazee kijijini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.