Recent content by MfanyakaziHewa

  1. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    We uoni Iran kuruhusu kushambuliwa ni udhaifu? Kama watu wameweza kumshambulia bila kizuizi, basi hata Kama kweli anehamisha hiyo mitambo nayo itashambuliwa tu wakati ukifika. Tatizo ni kwamba Iran anaingilika hadi chumbani bila vipingamizi.
  2. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    Wakimaliza kubuild vitaripuliwa Tena. Wanajisifu kuwa wamehamisha kabla ya shambulio, badala ya kupambana kuzuia mashambulizi kabla hayajatokea.
  3. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kulipua malori yanayasafirisha mizinga yakipeleka Tehran

    Duh! Ebu soma ulichoandika Kama utakielewa hata wewe mwenyewe.
  4. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoiingiza mkenge Israel ikadhani kuwa imemaliza ulinzi wa anga wa Iran

    Tatizo anachambua kwa mahaba Sana.
  5. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoiingiza mkenge Israel ikadhani kuwa imemaliza ulinzi wa anga wa Iran

    Iran nayo itumie njia za kigaidi kumiangamiza Natanyahu Kama wanaweza basi.
  6. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

    Italy Buffon, Gatuso, Cannavaro, Nesta, Maldini, Inzaghi, Del pierro, Vieri France Thuram, petit, Zidane, Henry, Lizarazu, Makelele, Deschamps etc.
  7. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania Filamu zangu 10 pendwa ambazo nimezihifadhi kwa quality ya 4K

    Ongezea na Mad Max: Fury Road The Raid 2 Godfather pt 1 hapo
  8. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wa CCM Kawe: Tunamsema Askofu Gwajima kwasababu aligusa familia za viongozi wetu

    Iv sifa ya kuwa mwana ccm ni usiwe na akili.
  9. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers tunapambana na ku-risk maisha kwa ajili ya damu ya mtu asiyejali wala kuwaza majukumu yake

    Kosa ni lako wewe, kwanini unaamua kuzaa na mtu hajakutoleq mahari Wala kujitwmbulisha kwenu? Pili hii stori, tumesikia kutoka upande wako tu, hatujasikia upande wa huyo jamaa. Inawezekana wewe ndo tatizo labda.
  10. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

    Dah! Eti nitoe 300k au zaidi kisa ni maarufu? Mtaani Kuna pisi Kali balaa, hao wasanii wakasome.
  11. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi huenda tusije kumpata Sergio Busquets mwingine

    Kabisa, Ila Ila Rodri Kama anakuja anatoka
  12. MfanyakaziHewa

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Gaza ni maajabu ya dunia

    Kobaz wakijifariji wenyewe kwa wenyewe.
Back
Top Bottom