WATAALAM wametabiri kwamba baada ya miaka 50 ijayo, kwenye mwaka 2069, dunia itakuwa imebadilika sana kisayansi, ikiwa ni pamoja na nyumba za makazi kujisafisha kwa mashine za roboti, kuweko maghorofa marefu chini ya ardhi, hoteli zinazoelea angani, teksi zinazopaa, njia za usafiri ndani ya...
MWANAMUZIKI maarufu duniani, Mwingereza, Edward Christopher Sheeran, maarufu kama Ed Sheeran ametangaza kuwa atapumzika kazi hiyo baada ya kuifanya kwa muda mrefu.
Ametoa kauli hiyo alipokuwa anafanya hitimisho la ziara yake ya ‘Divide World Tour’ mjini Ipswich, Uingereza, baada ya miaka...
DAR ES SALAAM: UNA kifua nikupe ubuyu? Staa mwenye kiwango cha juu ndani ya Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ anayepiga mzigo na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), muda wowote anaweza kuondoka katika familia hiyo inayoongozwa na mnyama mkali, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Mipango...
Maelfu ya watu nchini Ivory Coast walikusanyika katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny huko Abidjan kushiriki ibada ya kuaga mwili wa marehemu Ange Didier Houon maarufu kama Dj Arafat.
Dj Arafat ayelipoteza maisha baada ya kupata ajali ya pikipiki huko Ivory Coast mnamo Agosti 12, 2019...
Nilipata kuandika ....
LIVERPOOL
NA LAANA YA UBINGWA WA EPL
NA
NIHZRATH NTANI JNR.
Ni Jumamosi moja jioni. Naam! ni jioni ile ya Jumamosi ya April 28, 1990. Historia ninayoizungumzia hivi leo ni ya miaka 29 iliyopita. Mwanaume mmoja mwenye umri kati ya miaka 45 hadi 55 ,akionekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.