Recent content by Mfalme Daudi

  1. Mfalme Daudi

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Kaka hii story ya sasa siyo yangu! nimeandika kwa niaba ya mtu! soma vizuri mwanzo wa habari nimeweka wazi!
  2. Mfalme Daudi

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Mkuu,Soma vizuri! nimeandika kwa niaba ya mtu!
  3. Mfalme Daudi

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    NAANDIKA KWA NIABA YA DADA YANGU MMOJA MUHANGA ANAYEPITIA HILI,NIMEONA NISHEE ILI KUPATA USHAURI WA PAMOJA JINSI YA KUMSAIDIA. Tulikutana Facebook na ni Mwaka wa nne sasa tangu tufahamiane,alikua akisoma chuo Songea ila kwao ni Dar. Tukaanza urafiki na kuwa wapenzi, akamaliza chuo wakati huo...
  4. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Hahaha !!! imeisha io!
  5. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Nashukuru Mkuu! Nimeupokea ushauri wako vyema!
  6. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Hio Ya Kubomoa hawezi i'm sure with it!!
  7. Mfalme Daudi

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Nimeshatoa Mrejesho tayari kaka! check thread mpya!
  8. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Na Nianze Kumtafuta mwenyewe juu ya kutekeleza hilo?
  9. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Should I Be the 1st kumtafuta juu ya hilo,au nimwache mpaka anicheki mwenyewe??
  10. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Shida Sio Kupiga simu! nawaza hapa hata kama nimeamua nimrudishie vitu vyake maisha yaendelee should i be 1st kumcheki juu ya hili???
  11. Mfalme Daudi

    MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

    Ndio Ni mimi nilielipia!!
Back
Top Bottom