Recent content by Mezanine

  1. Mezanine

    Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

    Ccm ndo baasha wenu hapo mlipo mna mimba msubiri kuzaa oktoba25......na mtazaa hata kwa operation kudadadadeckkkkk!!!!!!
  2. Mezanine

    Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

    Leteni current issues sio past...OK....Lazima mkalie wembe tena dis time.....CCM ndiko baasha kwenu kudadadeckkkk!!!!!!
  3. Mezanine

    Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

    YUKO WAPI MGOMBEA MWENZA WA UKAWA? katika hali ya kushangaza na ambayo inaonekana kutoulizwa, sasa ni wiki ya tatu mgombea mwenza wa Ukawa Bwana Juma Duni Haji ametoweka na hajulikani aliko. Akizungumza na mtoa taarifa wetu mchambuzi wa Siasa Bwana Mahende aliuliza swali ambalo Viongozi wa...
  4. Mezanine

    GE2015 Magufuli ataja mafisadi CCM

    Mgufuli ndo muarobaini wa kero za wananchi wa tz......
  5. Mezanine

    Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

    Huyo Babu duni atabaki kuwa duni vivohivyo, na UKAWA itabaki UKIWA.....hivi mnaijua CCM au huwa mnaisikia????........Subirini oktoba5 kazi mnayo.....
  6. Mezanine

    Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    Na hapo wote waliolala ktk UKAWA wamepotea, kama ktk maisha haya tuna matumaini na UKAWA basi tumasikini na malofa Jul ko watu woooote duniani......teh teh teh teh teh.......chama cha upatu hakiwezi kuongoza nchi kama tz. Endeleeni kuota ndoto mkiwa mcho.......
  7. Mezanine

    Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    Hivi kweli bado wapi wanaoamini kwmba nchi hii itatawaliwa na UKAWA????.........
  8. Mezanine

    Kama ni nyomi za mikutano ya kampeni hebu wasanii kaeni pembeni na tuone!

    Wapinzani wakikosaga cha kuongea wanakuwa kama mazombi.....teh teh teh teh....Hao wasanii ni watanzania na wamejiandikisha na kura zao tunazihitaji pamoja na kura za wanaowaamini wao. Ninyi mkoa wapi? Au hamjui nini maana ya kampeni?.....kampeni ni kushawishi watu nakukubali na...
  9. Mezanine

    Lema hali tete Arusha

    Mgombea uraisi UKAWA hana uwezo wa kuongoza nchi hii......mtu anajinyea ovyo wa kazi gani apelekwe matibabu nchi haitoongozwa na wagonjwa hii, wagonjwa watasaidiwa matibabu na nchi..OK?
  10. Mezanine

    Kuna kila dalili NEC chini ya CCM watachakachua uchaguzi wa mwaka huu!

    Usiwasemee watanzania ndugu jisemee mwenyewe...CCM bado ni chama bora kinachokidhi vigezo vya kuongoza nchi hii....Na msubirie ushindi wa kimbunga oktoba 25.
  11. Mezanine

    Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Watanzania kama et tunaamini kuwa lowasa ataleta mabadiliko basi sisi ni wa kufanyiwa maombi.....hivi kweli kwa akili za mtu aliyekamilika amuwke Magufuli na fisadi manywele kisha amchague manyele????......hivi tunadhani ikulu ni choo cha jiji kila mtu anaweza kwenda jamani??????
  12. Mezanine

    Nillikuwa gizani: Kumbe watuhumiwa wote wa ESCROW wameteuliwa kugombea Ubunge?

    Wamemkata fisadi papa tu mgombea wa UKAWA......teh teh teh teh....
  13. Mezanine

    JF imekusaidia kupata mwenzi wa maisha?

    Akiwa tayari tutafutane kwaajili ya communication zaidi
  14. Mezanine

    JF imekusaidia kupata mwenzi wa maisha?

    Nahitaj mrembo awe mrefu kidgo, sura ndefu na figure ya wastani...regardless she's black or white..
Back
Top Bottom