Vodacom mnahuduma mbovu sana. Nimetuma Pesa kwenda mtandao wa Tigo nimekatwa hela lakini baadaye wanatuma message hii,
"Samahani, muamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja."
Nawapigia customer care wananiambia wana hitilafu ya kimtandao hela...
Hapana chetu cha kifo hakitoshi ndugu. Inatakiwa kufungua kesi ye Mirathi na msimamizi anayeidhinishwa na Mahakama ndiye atakayefuatilia kwa kutumia nyaraka za Mahakama. Ukweli ni kuwa Kuna hela nyingi sana kwenye Mpesa au simu za marehemu ambazo zinaotea kwa kutokufuatiliwa.
Nakushauri ingie kwenye maombi umkomboe kwa njia hiyo. Angalizo endapo utashirikisha watumishi wa Mungu, uwe makini nenda kwenye makanisa yanayojiendesha kama taasisi achana na haya ya mtu binafsi maana hukuko unaweza ukaondoka na matatizo mengine!
Amount inabaki hiyo hiyo uzuri wake ukiona haikulipi Bond unaiuza bond hiyo kwa faida mtu mwingine anaichukua. Isitoshe Bond inaweza kutumika kama dhamana wakati wowote
Ndugu, tulia ueleimishwe! BOT Bond zinaanzia 1million. Tembelea Broker yeyote atukupa mwongozo mzuri sana lina BOT wana invite public ili uweze na wewe kuchukua
Ndugu, kwa hali ilivyo nakushauri hela hiyo anunue BOND za serikali Benki Kuu. Achukue Bond ya miaka 10- 15 itampa faida ya 13% kwa mwaka. Hivyo kwa mwaka atapata 11,700,000.00 kama atachukua Bond ya 90,000,000.00.Atalipwa 11,700,000 kwa muda wa miaka 10 -15 kutegemea na bond mtakayochagua...
Poleni sana wasafiri. Nadhani ni muhimu tukajifunza, hii barabara inaunganisha sehemu mbalimbali za nchi na makao makuu ni vyema ikaimarishwa ipitike wakati wote na isitoshe hiyo sehemu ni korofi miaka mingi inajulikana tatizo hatufanyii kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.