Mm niliwahi kubahatisha bet yangu mwenyewe nikapata 2.3m m bet nikajaribu kizitumia hizo hela kununua fixed match tena wanavutia matangazo yao utasikia no chance to loose lakini sikupata hata moja na mpaka Leo baadhi yao wananitumia tips pamoja na muda kuisha sijui wamesahau kunitoa
Sent using...
Hizo hela unazotaka kuwapa jaribu mwenyewe kubet kuliko kuwapa maana ukishawatumia hela wanakutumia tips baada ya hapo hata uwaulize nn hawakujibu tena na tip zao wanabahatisha tu kama ww maana mpira ni mpira tu hakuna ajuaye kabla ya dk 90
Sent using Jamii Forums mobile app
Du! Waje watoe ufafanuzi maana inaonekana watu hawjamuelewa raid kabisa Japp kwabali ukisikiliza alichokisema rais na alichoandika meya hakuna tafauti ila tu mitazamo tu maana rais alisema jiji la Dodoma na jiji la dar as salaam sidhani na wala siitaji kuamini kuwa rais hajui miundo ya haya...
Hapo ki mantiki maneno yanatumika hapo yanahitaji kuangaliwa kiundani, malengo waliojiwekea! Sasa je hayo malengo ni realistic kwa kiasi gani maana waweza jiwekea malengo kidogo ukilinganisha na hali halisi ukafika na kuvuka ukasifiwa lakini liwalo na Liwe Dom haiweizi izidi dar mapato
Kama unajua Dawa ilipo si useme masuala ya Ku pm ya nini tena ,mbona mnapenda sana ya siri hata kwenye mambo yasiyohitaji siri
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana huyo jamaa anasema kinyume chake mke hapendi ngono na yeye anataka kila wakati kwa uzoefu wangu wanawake ndio huwa hawapendi show za kila wakati kwa mwanaume Siku mbili kwa wiki labda niwe na dozi ya malaria kiukweli show baada ya Siku mbili ni reasonable na hapo lazima kuwe na mchepuko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.