Ningekuwa na uwezo basi ningefuta mikopo kabisa, ningefuta vyuo, na shule kiujumla mana shule ndo imekuwa sehemu za watu kujifunzia ujinga na kadri unavyozidi kusoma ndo unazidi kujiongezea maujinga kichwani.
Hamna haja ya watu kwenda shule au vyuoni kwa karne hii.
Sasa nashangaaa watu...
Unajua nn lengo la tv. Au maana ya neno tv.
Television
Tele---vision.
Sio kitu cha kuangalia hata kidogo kwa maana faida zake ni chache kuliko hasara.
Ukiitaji ntakujuza zaidi
Ungekuwa mjuzi wa mambo ya it ungeelewa niliposema lugha nilikuwa na maana gani. <br />Naomba nukupe nafasi useme ni wapi au kitu kipi ktk eneo la jeshi ambalo usa anamzidi russia.
Kama mambo huyajui ni bora kunyamaza.
Russia kawekewa vikwazo mara ngapi?
Tatizo si kuwa na military base nyingi au watu wengi wanaosapoti upande flani. Russia anauwezo wa kuvifumua vinchi vyote vya ulaya ndani ya lisaa tu.
Vita vya sasa sio lazima kipigana kwa kitumia mabomu tu. Kuna siraha...
Usa ananunua siraha kutoka ktk makampuni binafsi yanayotengeneza siraha wakati mrusi haninui bali anatengeneza kwenye viwanda vya serikali. Plus kuna mengi pia nikitulia ntakujuza zaidi
Ninaposema languange simaanishi kingereza na kirusi bali ni neno linalotumika kwenye it.
Languange. Zinazozungumziwa hapa ni kama java, c++,c+ nk.
Sasa mmarekani anatumia common languange katika kuunda program zake au system zake wakati mrusi anatumia language yake peke yake ambayo hakuna...
Fikiri kabla ya kutenda.
Wahenga walikuwa sahii sana kwenye usemi huu.
Yamkini hujui maana na shule, elimu, maarifa, mwalimu na mwanafunzi pia.
Haya mambo kwa ufahamu wa kawaida yanaonekana ya kikawaida pia but ukiingia ndani zaidi ndo utajua matatizo juu ya hayo mambo.
Education is a weapon...
Usa anatumia language za kawaida katika system zake wakati russia anatumia language zake mwenyewe ambazo hazipo popote pale duniani.
Usa hawezi kumdukua russia kwa sasa kutokana na utofauti wa hizo language.
Pia bajet ya fedha sio kiashiria cha uwezo wa jeshi kivita au kitechnology.
Usa...
Huu ni upumbavu wa hali ya juu.
Ivi karne hii bado unaona ni sifa kupeleka watoto shule?
Ivi unajua hata maana ya neno shule?
Ivi unajua hata maana ya neno elimu?
Ivi unajua historia ya shule?
Ivi unajua lengo la shule?
Watu kama nyinyi ndo mnafanya dunia iwe sehemu mbaya sana kwa kuishi.
Tatizo sio source tofauti tofauti au moja but how correct is the source of ua info is.
Ktk nchi zilizoendelea miongoni mwa nguzo za serikari ni vyombo vya habari ukiachana na bunge au mahakama nk.
So kila habari inayotoka huwa wanaitoa kwa sababu maalumu na huku wakilinda maslai ya baadhi ya...
S 400 haiwezi kuwa destroyed kwa vyovyote.
Unaposikia s 400 sio kwamba inaishia km 400 tu.
Kwanza inatumia homming technology ambayo ni supersonic wakati usa wanatumia radar technolgy so utofauti wa hizo technology mbili tayari ni tatizo kwa usa.
S 400 inauwezo wa kugundua makombora au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.