ahahaha imekaa poa sana....Ule ndo mchezo pekee aloutengeneza Mungu mwenyewe Kwa Mwanadamu sasa lazima Muucheze Vyema bhana Sio muda wa chakula Umevaa gauni gumu kama Unaenda kuhubiri aah bwana
Shamba Boi
Ukweli Nampenda sana Mchumba Wangu Mayra.....
Sijaona kama yeye Tunakwazana Lakini Kuachana Hapana kwakweli Nna Amani kwake [emoji8][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii imenikumbusha kuna sehemu tulilima Mpunga Sasa Kipindi hicho ndege wakavamia mwenye shamba akaweka walinzi wakalinda wee lakini wakawashindwa ndege wakasema tulipe tj tumeshindwa kuendelea kulinda....mwenye shamba akawaambia vuneni mjilipe huwez amini jinsi ndege wamekulapunga heka sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.