Recent content by MESOYA

  1. MESOYA

    Tundu Lissu ana Highest level of emotional intelligence, contagious confidence and maturity of mighty order

    Majizi wapi anaowatetea tundu lisu? Wale serikali ya ccm iliyowaleta yenyewe na kuingia nao katika mikataba ya uharamia na unyonyaji wa kifisadi? Tumlaumu mwenye kosa mkuu na lisu. Lisu anaongea kisheria juu ya mikataba hii hiyo tuliyoingia tukiwa tumehongwa wao wakiwa makini inavyoweza...
  2. MESOYA

    Dotto Bulendu: Waliojiuzulu ubunge kuunga mkono Rais, leo hao hao wanaomba kufanya kazi ile ile

    Watanzania wa aina hii ni nyoka waliojaa sumu kali na usaliti unaotupotezesha fedha nyingi na kusababisha matumizi mabaya ya rasilimali za taifa letu. Binafisi naona fikira zetu zimebebwa na nadhalia ya kuwajaza matumaini ya kufikilika watanzania masikini angali miyoni mwetu kukiwa hakuna...
  3. MESOYA

    Dotto Bulendu: Waliojiuzulu ubunge kuunga mkono Rais, leo hao hao wanaomba kufanya kazi ile ile

    MUNGU AKUBARIKI KWA ANDIKO ZURI NA LILILOJAA UKWELI, BUSARA, HEKIMA NA HURUMA JUU YA RASILIMALI ZA TAIFA LETU.
  4. MESOYA

    Tundu Lissu kupelekwa Ubelgiji (makao makuu ya Jumuiya ya Ulaya) ni mkakati, ataongea na wafadhili wetu

    Naichukia ccm na nauchukia utawala wa Magufuli. Hii ni nchi ya watanzania, Na si nchi ya taasisi ijulikanayo kama ccm ama mtu mmoja kwa jina la raisi kuamua atakavyo. Ni aibu kubwa utu wetu kutawaliwa na mtu mmoja na hata tusiwe na lolote la kusema juu ya chochote. Eti Kisingizio uzalendo na...
  5. MESOYA

    Hivi viongozi wa chadema wanataka kutuaminisha msaada wa nje ni bora kuliko wa ndani katika kupigania haki zao.

    Kaiuulize familia yako na sio watanzania wapenda haki na wanaoheshimu katiba.
  6. MESOYA

    Tundu Lissu kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    Mungu mponye Lisu. Amen
  7. MESOYA

    Kwanini Mazoezi hayanisaidii?

    Hakuna dkt wa kupunguza mwili mjomba. Kikubwa cha kufanya ni zoezi, zingatia chakula bora, muda wa kupumzika na kiwango cha maji unachokunywa. Na kutoa nafasi kati ya maji na chakula.
  8. MESOYA

    Tetesi: Lowassa alijimilikisha hisa za Vodacom na Alphatel kinyume cha sheria?

    Kama huna habari za kujitoshereza na umejaa umbeya kwa nini umetoa taarifa ya uzushi na badala yake unatuomba tukujuze. Acha kuchafua watu bali jaribu muungwana.
  9. MESOYA

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Hii ndio africa bwana tusishangae. Wanasiasa wa namna hii ni wengi Africa na ndio wenye kuleta laana kwenye taifa letu. Maono yao hayajawahi kuwa sahihi hata siku moja. Kwani kukanusha rangi waliyoichagua wenyewe hawachelewi. Mungu ibariki tanzania
  10. MESOYA

    Hii ya Irene Uwoya kuolewa mara mbili tuiite bahati??

    Hili ni kundi la wadada wafia uchi.
  11. MESOYA

    Ushauri wangu kwa MH Kigwangala

    Mheshimiwa Kigwangala, Ukiwa waziri wa maliasili na utalii, binafisi napenda kutumia nafasi hii kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kuwa waziri wa wizara hii nyeti na yenye maslahi makubwa kwa rasilimali za taifa letu. Lakini katika hili niseme kwamba napata wasiwasi na mashaka makubwa juu ya...
Back
Top Bottom